Ule Wimbo nahic cjui wa Twanga pepeta Jina sikumbuki ila Kuna sehemu Wanaimba hv
Iyee Nyama yao dada
Umeondoka dada
Umeniacha mkiwa
Umeondoka wee umeniacha mkiwa Dada
Shukrani Mkuu Naomba na Huu Wimbo wa bongo fleva wa Zamani kama unao Wanaimba hv
Mpenzi Nimekubali Uwe Wangu Maishani
Wanacheza Wapige kelele wanga
Wakichoka Waje wabwage manyanga
Usiulize Bado Nimo
Rado Namwaga Wino
Uwezo na Kipaji havihusiani na Kimo
Pembeni wananisaliti ila Moyoni Meal Nimo
Nawaunguza Mmoja mmoja kirada Rado Toka Kino
Hii ngoma ni balaaa + Ile Beat Kali ya Baucha Records
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.