Recent content by NDOMBA BC-NGOMILEKI

  1. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kwanini Hemedi Ally na sio Tumaini Makene? kuna jambo hapa!

    Ki nguoni mwako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Damu ya tundu Lissu, iwe ngao ya mapambano

    Mbingu ijapo funguka kila mmoja akauona na kuujua uhalisia tutainamisha vichwa chini. Kila mamlaka iachwe ifanye kazi yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Upo sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Huku kwetu tunasema "penye hapo" walikuwa wapi kuyasema ya vyeti vya Makonda kabla hajawaweka hadharani wa cocaine? Watz daaah kazi k weli kweli!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mapenzi haya!!! , naombeni ushaur wenu

    Mrudishie kwani ni zake na usipende chukua bila kupewa ama kuomba.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Makonda, tulikuambia ngoma ya watoto haikeshi hukusikia

    Ni sawa lakini asikatishwe tamaa Makonda. Mm huamini mtu hadi afikie hatua ya kufanya jambo atakuwa amejipanga. Kufa ni sehemu ya maisha y etu. The City hunter inahusika.
  7. N

    JamiiForums Tanzania RC Makonda, hupaswi kufanya makosa kama haya katika nyakati hizi

    Hii kali. But lets pray for him. (Mr Makonda)
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kweli kazi ya ualimu ni wito

    Duuuh! Watu wanasahau watu walowapa uwezo wa kutumia nyanja zao
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kweli kazi ya ualimu ni wito

    Anayesema walimu watu hatari ana maana gani?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Najua umeshasikia kuhusu Illuminati, lakini kama hujui malengo yao kwa wanadamu pitia hapa

    Where do we going human being? Mungu pigana nao wanaipigana nawe na teta nao wanaoteta nawe!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu kuhusu TCRA..sio wa Twaweza

    So hiyo inaonesha kushindwa kwa TCRA. Hii ni drop out ya mamlaka
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Frank Msigwa aomba radhi mtandaoni, nasisitiza Sheria ifuate mkondo wake

    Nadhani mr Msigwa bado hajathibitishwa kuwa mwalimu huyo ni mwanafunzi wa fani ya ualimu huwa tunawaita walimu tarajali.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Hii ni shiidaa! 2jipange kwa 2015 mungu a2ongoze 2pate watanzania wazalendo damuni na kifikra. 2tapona dhidi ya huyu kirusi fisadi.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa watumishi wa umma!

    Naomba kulijua suala la ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari hapa tz. Ktk wilaya x watumishi waumma wameambiwa kuchangia sh.10,000/= wakiwemo walimu ambapo mwenye jukumu la kuiongoza wilaya hyo kataka majina ya walimu wasotoa hyo pesa. Nini maana yake? Wakati hoja ilidai ni hiari, je,ni...
Back
Top Bottom