Napenda kuchukua fursa hii adhimu kupeleka Sala na Dua zetu kwa Mh. Tundu Lissu ambae amepigwa risasi na watu (Ati) wasiojulikana huko nyumbani Kwake Dodoma. Kabla yakuanza kuandika shutuma zangu kwa wahusika wakuu wa serikali ya CCM, napenda kuwaomba Watanganyika na Wazanzibari wote wanaopenda kuona utawala Bora na Democracy ya kweli, kulaani vikali kitendo hichi cha kidhalimu alichofanyiwa nduguyetu Mh. Tundu Lissu. Na ikiwezekana Kufanya Maandamano hata kama hakutakuwa na Kibali. Tukumbuke maandamano ya Amani ni haki ya kila Raia kuonyesha feellings zake.
Pili ningeomba kila Mtanganyika na Mzanzibari au hata wa East Africa kumuombea dua kiongozi wetu/ ndugu yetu mzalendo Mh. Tundu Lissu katika sala zetu- ili Allah (SW) ampe afya yake haraka na aungane na sisi katika kupigania Haki na Democracy ilioporwa na Utawala huu dhalimu wa CCM.
Leo nitapendelea kuihusisha Makala hii na vipengele 3 vifuatavo hapo Chini ambavo kwa mtizamo wangu naona ni vitu vyakuvichambua.
1. Psycological theories, adui huwa wa mwanzo kutoa masikitiko yake juu ya tukio:
2. Kauli ya Humphrey Polepole miezi 3-4 iliopita, Ilikuwa na maana gani?
3. Damu Zao ndio ngao za kuondowa utawala dhalimu wa CCM Tanganyika na Zanzibar

Kutokana na somo la psycoloy wataalamu wa matokeo ya uhalifu wanasema kwamba mtu wa mwanzo ambae ataonyesha imani zake au kisikitishwa na kitendo cha Uhalifu/ Mauwaji basi huyo nilazima awekwe kuwa ” Primary Suspect” Hivi ndivo nchi nyingi duniani wanavofanya wakati wakuchukunguza tukio la uhalifu. Hata kwa Upande wa Tanganyika na Zanzibar hatuna haki hio. Hii nikutokana nakwamba Polisi na vyombo vyote vya Dola Vinatumiwa na Serikali tawala na Chama cha CCM. Na ndio maana tumeshaambiwa Mh. Tundu Lissu amepigwa Risasi na Watu Wasiojulikana. Itakuwaje Taifa liwe na Wahalifu Wasijulikana?
Sisi Wazanzibari tunajuwa hao watu Wasiojulikana ni Mazombi ambao huitwa USALAMA wa TAIFA, naamini hakuna Chombo cha habari hata kimoja kitakachokuja na Consperacy theiries. Hii ni kwakumuogopa Mtu mwengine( Asiejulikana) Kuvamia kituo cha Habari na askari walioshika Silaha za Moto. Hivo tunategemea pahali palipokuwa na Utawala Bora wenye democratic police force wanavofanyakazi kwa ajili ya Watu wanaweza kuchunguza tokeo hilo kwakutumia vigezo na maneno aliokuwa akisema kwamba anafuatwa na Usalama wa CCM na sio Usalam wa Taifa.
Ninavojuwa mimi Usalam wa taifa wanatakiwa wa react wakati Nchi inapokuwa inahatarishwa na Wageni na si vyenginevo. Usalama wa Taifa wanatakiwa wawe INDEPENDENT na NUTRAL na SIO Kukitumikia Chama Fulani na Kuikandamiza haki za Wanyonge. Kama tuna independent Police Force wanaoshuhulika na matokeo ya Uhalifu hasa wa attempt murder basi wangeanza kuchunguza mmwenondo wa Mh. Tundu Lissu na wanaomtishia maisha yake.
Tunaweza kuangalia mifano ya Primary Suspect: Mfano mwaka wa 2002 kule Hertfield kulitokea kidnap ya watoto 2 wa kike ambao ni marafiki- Scortland Yeard walipoanza investigation walianza katika mtaa huo wa Heartfild na wakakutana na kijana wa 34 by than; anaejulikana kama (Ian) ambae mpezi wake ni mwalimu wa watoto hao waliopotea. Huyu kijana alikuwa ndio Primary Suspect kutokana nakuonekana amesikitishwa sana na kitendo hicho na aliwaahidi Polisi kutoa Ushirikiano wake. Pia alisema aliwaona watoto hao siku hiyo wakipita wakati wa jioni. Kumbe yeye ndie aliekuwa ame-wakidnap wakati huo na kuwauwa wote 2 na baadae akawatupa kwenye Dich fulani. Aliungama vipi aliwauwa wakati wa case yake iliposomwa.
Nikirudia kwenye Makala yetu, kitendo cha John Pombe (Mtukufu Mfalme) kutoa masikitiko yake ya mwanzo na ku-Tweet haraka sana baada yakusikia kitendo cha assacination ya Mh. Tundu Lissu; ukweli kinanipa Instinct Feellings kwamba viongozi wa juu wa CCM wanahusika na uharamia huo. Sio yeye tu bali masikitiko yaliofuata yalikuwa ya Humphry Polepole, Job Ndugai kujipeleka haraka Hospitali kama vile wana imani ya kweli. Kumbe ndio hao hao waliokuwa wakiwatuma Polisi kumnyanyasa Mh. Tundu Lissi na wabunge wengine wa upinzani wakiwa Bungeni.
Ndugu Watanzania wa Zanzibar na Tanganyika, wakati umefika wakuamka na kuacha woga, kitendo cha Unyanyasaji wa Viongozi ambao ni Watetezi wa Utawala Bora tukikiangalia Pembeni basi hakuna atakaekuwa Salama.
2. Kauli ya Humphrey Polepole miezi 3-4 iliopita, ilikuwa na maana gani?
Nduguzangu wa Tanganyika na Zanzibar, kama mutakumbuka miezi 3-4 iliopita, Humphrey polepole ambae ni Katibu muenezi wa CCM NEC aliwahi kuhojiwa na na Sauti ya Ujerumani, Idhaa ya Kiswahili- iliorushwa na nduguyetu Mohammed Ghassani kuhusiana na uimarishaji wa CCm. Mtangazaji huyo wa Dochiveli pia aliwahi kumuuliza suali la mgogoro wa Zanzibar lakini Humphrey hakutaka kusema nini kitatokea. Nakumbuka niliwahi kurushiwa audio ya mahojiano hayo katika Social Media. Nini Humphrey alisema? Namnukuu hapo chini ( lakini kama nitakuwa nimesahau basi mutanirekebisha):-
” Tunataka Ngojeeni katika miezi mitatu hii ijayo, Watanzania watashuhudia mambo makubwa sana yatakayo tokea…” Mwisho wa kumnukuu
Kwa upande wangu nilipomsikia Polepole akisema kuhusu mambo makubwa yatakayotokea Tanzania ambayo yatawashituwa Watanzania nilijuwa hakuna utawala wa Haki wala democracy Tanzania. Na Suali la Zanzibar nilijuwa Humphrey ni Aduwi Mkubwa wa Wazanzibari kama alivokuwa Nyerere na Samuel Sitta au LUKUVI. Matokeo hayo alioyasema Humphrey Polepole ni:
a. Kumtumia Lipumba kuichafua CUF.
b. Kuvitumia Vyombo vya Dola kuwakandamiza Wapinzani na Democracy Tanzania.
c. kuwatisha Wapinzani na hatimae kuwapiga Risasi kama tukio hilo la Mh. Tundu Lissu.
Hayo ndio mambo 3 makubwa yaliotushituwa Watanzania katika miezi 3-4 aliosema Humphrey Polepole kama yangetokea. Ukweli nikwamba utawala wa CCM ni utawala wa KIDICTATOR na hauna tofauti na ule wa General Pinachaet wa Agentina au Cambodia. Hakuna njia mbadala ya Haki au democracy kusimama hapa Tanzania. Na tukio hilo alilofanyiwa Mh. Tundu Lissu ni Wake Up Call kwa Majaji wa Mahakama kuu wanaoshuhulikia Case za CUF.
Jee kitendo hichi kitaweza Kuzuia Nguvu ya Watanzania kudai utawala Bora na Democrasia ya kweli?
Au tutaendelea kutoa macho nakuogopa? Time will Tell.
3.Damu Zao ndio ngao za kuondowa utawala dhalimu wa CCM Tanganyika na Zanzibar
Tumeweza kuona Nchi nyingi ziliokuwa zinapigania haki, democracy na hata uhuru wao basi zilipoteza damu. Labda Nchi ya TANGANYIKA ndio Iliopigania UHURU bila yakumwaga Damu. Nashangaa sasaivi Utawala wake wa CCM unatumia Damu za nduguzetu Wazalendo kueendelea kututawala. Mfano ni Yale Mauwaji aliofanya Benjamin MKapa kule Pemba 2001. Na viongozi mbali mbali waliotekwa nyara na kupotea, hizo ni Damu za nduguzetu Wazalendo wanaodai Utawala Bora.
Kwa Upande wa Zanzibar tumeweza kuona kwamba Mauwaji yaliofanyika Pemba na Ukandamizaji wa Wazanzibari ndio imekuwa CHACHU yakuiondowa CCM kule Zanzibar. Tumeshuhudia katika Uchaguzi wa 25.October 2015 na ule Uchaguzi wa CCM-Mazombi 16.March 2016. CCM Tanganyika Waliweza kuona kwamba Hawana watu Visiwani kwani Nguvu ya Upinzani imezidi baada ya kumwaga Damu zao na ukandamizaji. Hivi sasa Chama hicho Kinatumia JESHI na Watu kutoka Nchi za Africa au Tanganyika kuwapigia kura.
Jee Watanganyika Wanaweza kufanya Mageuzi kama yaliofanywa na Wazanzibari?
Nilikuwa nawaomba nduguzetu wa Tanganyika ambao wanaamini Utawala Bora na Wenye Democrasia ya kweli kukichukulia kitendo hichi kama CHACHu ya Mapambano na hatimaye kuiondoa CCM. Tukumbuke Waswahili Wanasema ” Tumbiri akikosa Miti, Basi Huingia Muilini”
Na Serikali ya CCM imekosa Sera, Utawala Bora wakuwafanya Watanzania hasa Wazanzibari Waichague, sasa wanatumia Nguvu na vitisho kuendelea Kututawala Wao na vizazi vyuao vijavyo. Kwani Kila kiongozi wa CCM sasaivi anakula na Family yake. Mifano tunayo. Hakuna kiongozi wa CCM aliekuwa hana Mtoto au Mjukuu JUVI-CCM, Mbunge, Waziri, Mkuu wa Usalam. Ni Utawal a wa KIFALME wanarithishana.
Chanzo. Mzalendo.net.