Nawe umenyimwa?Mie ndio nahisi kupasuka kwa hasira.
Nataka nihame Dar, niende Dodoma.Siku hizi umehama mjini?
Uhamisho si bado au mwenzetu unahama kwa memo?
Labda tunatumia magobole ya kuwindia wanyama kuchapiaAnayesema walimu watu hatari ana maana gani?
Mkuu duuh hii nimeipendaaa sana!!.Ningetiririka nao kama walivyojipanga hapo bahati yao huwa sitongozi wanafunzi labda itokee tuu.
Shemeji amekuja dodoma? 😀Nataka nihame Dar, niende Dodoma.
Kila siku danadana.
Utumishi mkuu wamenipa go ahead, sema uhakiki unanibana, wamesema mpaka uishe
Huwezi ukaenda kuonana na faza hausi, utuokoe?Nawe umenyimwa?
Pole...asa tufanyaje?
Mwanamke kwa demu?Huwezi ukaenda kuonana na faza hausi, utuokoe?
Si unajua mwanamke kwa dem ni mfupa kwa fisi
Mi nadhani hajatokea mwanamke jasiri wa kupeti peti 🙁
Uhakiki unanifanya network ishike kwa shidaMwanamke kwa demu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uhakiki unanifanya network ishike kwa shida
Ha ha ha ndugu yangu alienda mahali, kalala asubuhi kajikuta nje, alibeba begi akarudi kwa mkurugenzi kuomba ahameHata wachawi naona wanajifunxiaga ulozi kwa walimu.
Kuna vijiji ukipangwa ni tabu tupu.
kumbuka muvi ya sarafina na uwezo wa mwalimu ktk hilo mkuu.usemayo ni kweliMkuu dafu na ndimu,walimu wakiamua kuharibu generation kwa kuwafundisha wanafunzi wachukie kitu fulani itakuaje? Kwa mfano wakiwaambia wanafunzi kila siku nyie mnatakiwa mle chai na mkate tena wenye siagi,hamli kwa sababu watu fulani ndo wanasababisha na ndio adui zenu,unafikiri nini kitatokea? Tena kila siku wanafundisha hicho hicho,tafakari mkuu dafu na ndimu.
Kama na wewe shem unahama Dar ni hatari!!!Nataka nihame Dar, niende Dodoma.
Kila siku danadana.
Utumishi mkuu wamenipa go ahead, sema uhakiki unanibana, wamesema mpaka uishe
[emoji3] [emoji2] [emoji2]Nimegonga sana hao daah aisee wanapenda wakubwa yani