Mapenzi haya!!! , naombeni ushaur wenu

Ukikumbuka ule usemi wa "HASARA ROHO PESA MAKARATASI" wala usingehangaika kutafuta ushauri kwa jasho la mtu.

Tafuta zako hizo hazitakumalizia shida zako cha zaidi kama ni mtu wa imani utabaki roho yako inakusuta.

Mpe pesa zake hujazaliwa naye huyo hivyo ulitakiwa uwe tayari na lolote inatakiwa uamini siku zote mapenzi ni kama kamari kuna kupata au kupatwa.
 
Hahahaaaaaa!! Wakati mwingine inabidi uvute bangi kidogo ili utoe ushauri unaoendana na mrengo wa mada.

Sasa kutokuwepo kwake nyumbani kunahusiana nini na hizo pesa!! Mapenzi ya siku hizi bwana ni kukomoana tu.
Ni kuendekeza nafsi tu hakuna kingine. Inaelekea yeye ndio alianza vituko baada ya kuona hizo pesa ili aje kuzichukua.
 
Mbona sijaona alipo kuumiza kutokupokea simu siku moja ndo use me umeumizwa??

Kwanini usinge msubiri ukamsikiliza atajiteteaje ndo uchukue maamuz??

Assume angekua mumeo ndio ndoa ingeishia hapo kwa sababu hii ndogo??

Jifunze kua mvumilivu ukiingia kwenye ndoa utapata shida sababu ndoa in a ups an down
Ambazo zitakulazimu kuvumilia

Mrudishie hizo pesa zake sioni sababu ya wewe kumuibia wakati hukumpa nafasi yakujieleza..

Kuna makosa ya kumkomoa au kumkomesha mtu lakini sio hili.
 
Yan hapa navyowaambia ndo namalizia wkend kwa zile pesa jaman,,, wkend Mubasharaaa
 
Machungu aliyokuletea ni yapi yaseme,wewe ni kibaka tu mzoefu,mwizi jambazi na tapeli,kwa nini wewe uchukue pesa za watu?umenikera sana!
Hata mie nalitaka kumweleza kama ulivyosema Mkuu, usawa huu alafu uchukue pesa zangu kiboyaboya lazima utage..huyu mwenzetu ana roho ya udokozi
 
Yan hapa navyowaambia ndo namalizia wkend kwa zile pesa jaman,,, wkend Mubasharaaa
Hiyo Thong kwenye Avatar umenunua kwa hela uliyoiba kwa huyo mshikaji au ulikua nayo kitambo kwa hela zako... :rolleyes: :p :cool: o_O
 
ushapanga mpk kuondoka unataka ushauri gani?? acha wizi na story zako za kutunga hizo
[HASHTAG]#ova[/HASHTAG]
 
Ukikumbuka ule usemi wa "HASARA ROHO PESA MAKARATASI" wala usingehangaika kutafuta ushauri kwa jasho la mtu.

Tafuta zako hizo hazitakumalizia shida zako cha zaidi kama ni mtu wa imani utabaki roho yako inakusuta.

Mpe pesa zake hujazaliwa naye huyo hivyo ulitakiwa uwe tayari na lolote inatakiwa uamini siku zote mapenzi ni kama kamari kuna kupata au kupatwa.
pesa ni zao wote bhana hujui kama hao ni mwili mmoja??
 
umetoka nduki kama
filibet bai,
hata kwa rafiki zangu hukusema bai,
umeacha pete pafyumu na picha zako,
kumbuka nyumbani ulikuja na ndala zako,
kumbe mwenzangu mvuvi umetega mitego yako,
ulipotoka kwenu hukuwa na chochote zaidi ya kipande cha kanga,
ulikuwa mnyonge kama mwizi aliyeshikiwa panga,
bado siamini kama huo ndio mwisho wako,
umeshawahi penda na yule unaye mpenda mwishoni mbali akaenda?
inauma sana tena utajuta kupenda,
ivi wewe ni yule yule wa kipindi kile?
mimi nahisi una mapepo unahitaji kuombewa,
na utafeli uko ulipo,
kwanza unatamaa kahaba changudoa,
ungenifanyia mimi hayo ningehakikisha unaozea segelea hapo utakuwa umetenda kosa, tena ni wizi huo wa kuaminiwa...rudisha haraka fedha za mwenzako, thamini utu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom