Wajibu wa watumishi wa umma!

Dec 11, 2014
14
6
Naomba kulijua suala la ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari hapa tz. Ktk wilaya x watumishi waumma wameambiwa kuchangia sh.10,000/= wakiwemo walimu ambapo mwenye jukumu la kuiongoza wilaya hyo kataka majina ya walimu wasotoa hyo pesa. Nini maana yake? Wakati hoja ilidai ni hiari, je,ni wajibu wa mwalimu kutoa hyo pesa kisheria na kodi anakatwa kila mwezi? Na wizara husika ilisha toa marufuku jambo hilo? Walimu waende wapi wakasikilizwe na mambo yanavyopelekwa ni visho, lazima? Mmh! Ni shida! Sijui ka JK anajua hili.
 
Back
Top Bottom