Utafiti wangu kuhusu TCRA..sio wa Twaweza

Utafiti wangu kuhusu TCRA..sio wa Twaweza

Manento

Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
29
Reaction score
27
Baada ya Tcra kuamua kuzifungia mawasiliano simu zote feki nchini Tanzania mapema mwezi june..ilikuwa jambo la busara ktk kupambana na bidhaa feki..ila utafiti uliofanywa na mwananchi wa kawaida na sio Twaweza umebaini simu karibu robo tatu ya zilizofungiwa zimeshafunguliwa na vijana wa pale kariakoo mtaa wa Aggrey na bado huduma hiyo inatolewa kwa Tsh 5000 tu mpaka kesho.
 
Back
Top Bottom