Recent content by ndisinzowa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Prof.Makame Mbarawa ndio chaguo sahihi .
  2. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kisarawe nije Dodoma Manispaa.Idara sekondari Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta MTU wa kubadilishana naye..Niende Dodoma Manispaa aje Halmashauri ya Kisarawe..Ni PM
  4. N

    JamiiForums Tanzania Du ,ama kweli wanaume tunamajaribu makubwa

    Hakuna kitu hapo...Siku ya Siku hata ukitembea na mwanamke kichaa utako***joa....na ndo lengo.. #uT_izaK_apaH
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    dah Weka akiba ya maneno.....Enzi hizi Mbatia CCM Siku hizi shujaa na Mpinzan wa kweli......
  6. N

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

    Wimbo mzuri...BT Idea ni wimbo wa mike t alimshirikisha mad ice.....
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je Civil Engineer Naweza soma CPA?

    Salam, Wakuu..Mimi ni Civil Engineer, Mwenye kujua utaratibu je nitaanzia level ipi ili siku nije kuwa na CPA?naombeni ufafanuzi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

    Sio haki mkuu..cha kukusaidia kunywa sumu uikomoe UKAWA
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya maumivu ya miguu kwa mgonjwa wa Kisukari

    Hi Jf, Mama yangu anasumbuliwa sana na miguu na pia ana Kisukari. Tushampeleka baadhi ya Hospitali na baadhi ya dawa katumia lakini hazijamsaidia. Naombeni msaada kwa ushauri wenu. Nawashukuru
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nitamshangaa sana mwanachama yeyote wa CHADEMA atakayempinga Rais wa Burundi

    Tatzo la wanachadema wanaendekeza ushabiki badala ya uhalisia..
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mahudhurio kati ya mkutano wa Mnyika CHADEMA & Zitto ACT-Wazalendo

    Bosi wako anajua kazi unayofanya huku? Nenda kachukue buku 7 dully
  12. N

    JamiiForums Tanzania Breaking newz.=hatimaye waziri asalimu amri,akubali kujiuzulu

    Kitambo sana hahaha
Back
Top Bottom