Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

Baadhi ya Wabongo ndivyo walivyo.

Kuna yule binti, Esther Wassira, wakati alipojiunga humu alimwagiwa masifa kemkem.

Watu wakawa wanasema ni kichwa sana na kumpa kila aina ya sifa.

Binafsi sikuona lolote alilolisema (andika) humu ambalo lilikuwa geni au jipya sana.

Inavyoelekea kwa wabongo (baadhi) mtu akiongea common sense wanavutika sana na kuona kama miujiza vile.

Kwangu mimi hiyo ni dalili ya kuzoea na kukubali viwango vya chini sana katika mambo kiasi kwamba akijitokeza mtu na kuvuka kidogo tu hivyo viwango basi, anatunukiwa 'ukichwa'.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli JF ni kiboko,

Hizi tetesi za Mbatia kulipwa fadhila ya ubunge zimefika humu zaidi ya mwaka. Huyu mbatia ni sumu kwa upinzani zaidi ya mrema watch out kambi ya upinzani 2015 haipo mbali. It's a strategic move

Narubongo sijakuona siku nyingi mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Don't judge the book by its cover.......hakuna hawezaye kufanya lolote la maana chini ya Serikali ya CCM hasa hii ya JK, Tatizo ni mfumo mzima unahitaji overhaul.

Mtakaa kujidanganya hapa mtakutana na yale yale ya Mama Sita wakati akiwa ni Rais wa CWT alionekana ni mkombozi wa walimu lakini alipokabidhiwa Wizara ya Elimu kila mtu anajuwa ni nini kilichotokea na hatimaye sasa hata kwenye Cabinet hayupo na wala hafikiriwi.

Mimi binafsi siwezi kunywa huu mvinyo mnaotaka kuniaminisha, naijuwa vizuri CCM na hakuna mwenye ubavu wa kubadilisha lolote chini ya utawala huu. Nukta.

Matola kama ukiona mbali ki disign lakini wamemrudisha tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom