Recent content by Ndinimbya

  1. N

    Huu ni mchuano baina ya Kanda ya Ziwa na Kaskazini si vinginevyo

    Mbilinyi hawezi kuwa rais wa wanyakyusa hata siku moja, labda wasfwa na wakinga
  2. N

    Tunaomba tuwaone hao wahudumu ATCL wasio na mvuto,wabaya na wafupi! Je wafukuzwe kazi au wafungwe jela?

    Mkuu huyu mbunge kweli ni fala. Na kama mvuto wa wahudumu ndo kupata abiria basi KLM ingefunga route yake hapa maana ndo ndege inaongoza kuwa na wahudumu wazee na wasio na mvuto kwa mtazamo wa huyo Mbunge , na wengi ni wazee zaidi ya umri wa huyo Mbunge ingawa ni warefu. Nadhani KLM waliangalia...
  3. N

    UKAWA wamwandikia Spika kutaka kujua uhalali wa Rais JPM kuhutubia Bunge bila matokeo ya Zanzibar

    Vip wataalam wa sheria mtusaidie na hili, kuitisha bunge la jamhuri bila matokeo ya zanzibar inawezekana na kula viapo kwa wabunge wateule?
  4. N

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Kweli Slaa ni kiboko, mpaka sasa threads zaidi ya kumi sishaanzishwa kumjadili na kumkashifu. Halafu mnasema hana madhara yoyote. kama kweli si muache kufungua mathread hovyohovyo
  5. N

    Wananchi Wamkataa mgombea ubunge Dr Emmanuel Makaidi

    Huyu mmawia huwa hapendi kabisa kusikia habari hasi za upande wake.
  6. N

    Amekutwa na nini mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu?

    Katangaza kujiunga chama kipya UKAWA
  7. N

    Amekutwa na nini mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu?

    muda mwingine usjitoe ufahamu, sumaye ana nafasi gani ukawa mpaka akapewa muda wa kuongea?
  8. N

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Ndo yale yale wakifanya wengine tunahoji ila mkifanya nyie ni sahihi, asingeponda chadema na lowasa tusingejua hiyo stori, siku zote ulikuwa unasubiri nini kutuambia hayo.
  9. N

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mbona husemi angejisafisha angeendelea kumuita fisadi, umeng'ang'ana na wabunge hamsini. Pia mnasema hawapi shida slaa mbona mnazidi kufungua thread nyingi za kumponda na kumkashifu, mara nyingi mtu ambaye hakupi shida hata huhitaji kumuongelea au kumkashifu. Kumbuka hakuzungumzia wabunge...
  10. N

    Kwanini Mbeya City hashiriki Kombe la Kagame?

    Jamani visiwani si wana nafasi yao?
  11. N

    Kwanini Mbeya City hashiriki Kombe la Kagame?

    Nadhani kwa hoja yako CAF wangezitoa kushiriki mashindano taifa stars, simba pamoja na yanga maana hazina uwezo hata nafasi ya tatu au ya nne hazifiki
  12. N

    Tuhuma kwamba Mhe. Lowassa anatumia pesa sasa zikome

    Huyu Lowasa mpaka kufikia kipindi cha kuchujwa ndani ya chama chake atakuwa ameandikwa mara milioni mia katika mitandao ya kijamii, na kwa machapisho yasikuwa na maana ili mradi tu aonekane anashambuliwa au anapendwa huku waandishi tukiwa sisi wenyewe na tunaompenda ni sisi wenyewe.
  13. N

    Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    Hii nchi bwana, ukiwa waziri ni wa taifa. Ila Ukiwa mkuu wa nchi siyo wa taifa. Kwa mfano rais akipelekewa bandari kwao wakati nyingine ipo km 20 kutoka kwake ni sawa tu, kujengewa barabara kubwa kama iendayo mikoani ni sawa tu.
  14. N

    AZAM MILK, artificial au maziwa halisi?

    Fafanua kamanda kivipi ukinywa bia unaokoa vyanzo vya maji.
Back
Top Bottom