Mimi naona ni Chemistry kati yenu tu, kuna mabadiliko makubwa baina ya jinsia mbili zikiingiliana kimwili ikiwemo kuwepo kwa mfanano wa hisia. Sasa labda mke akiwa na ujauzito kutokana na nyinyi kuwa mwili mmoja na uwepo wa mapenzi ya kweli kati yao, hiyo hali inapelekea mwanaume kushare hisia...
Hapana mkuu, tunaangalia na display ya kioo, ukitaka vya bei rahisi utapata kwa sh elfu tisini hata sabini lakini chenye display inayoeleweka lazima laki na 30 au laki na 40 lazima ikutoke.
Jamaa kwa ujumla wako vizuri sana. Wanatoa kitu kilicho bora sana, kiulinzi, kimatumizi na kimvuto pia. Sizani kama kuna kampuni nyingine ya simu ambayo inafanya kazi kwa ueledi vile kwa ajili ya wateja wake. Labda simu za sony kwa mbali.
Ni kweli kabisa kuna mda hisia za kimapenzi zinampelekesha mtu pasipo hata yeye kujijua kama anakoelekea siko, ila kwa ushauri wangu achana na tamaa ya huyo binti, ikiwezekana kaa nae mbali tu angalau amalize hata shule tu ndo uje umweleze hisia zako kwake. Usiruhusu tamaa ya mda mfupi...
Ni moja kati ya simu zenye uwezo mkubwa sana wa kusukuma mwenendo mzima wa katika kile unachokitaka katika simu, na kama ni mpenzi pia wa picha nzuri basi hapo napo utakuwa umefika, na kwa upande wa battery kukaa na moto inategemea tu na matumizi yako haswa kwa upande wa internet. Changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.