Naomba kufahamu kuhusu simu za iphone 6

Naomba kufahamu kuhusu simu za iphone 6

Umenivuruga kabisa mkuu, coz bado sijaamua ninunue ipi kati ya Samsung A30 na Iphone 6 Plus

Mwenye ushauzi plz
Chukua A30 inasifa nzuri mno kuliko hiyo iphone 6
 
A30 ni kiwango super Amoled display full hd+ ram gb 4 rom 64 gb memory card hadi 512gb bado features kibao kamera nzuri. Samsung for life never change
Bei yake sasa mkuu ?
 
Wakuu nawashukuru sana kwa ushauri, hapa ndo natoka dukani kununua kitu Samsung A30. Iko charge now naisubira ijae nianze kuitumia.

Hii tecno yangu L9 sijui namuuzia nani sasa? Maana bado iko bomba sana sema nimeichoka tu
 
Mie nAtaka mkuu six kama yako mkuu hebu niconnect ila hizi iphone zetu mbona zinakua cheaper Sana Jana nimemtuma mwanangu anichekie iphone 6plus naambiwa ni kama laki sita nini tofauti ipi au wachina hawa ndio walivyo zimekua refurbed
 
Aisee walijitahidi kutoa toleo lililodumu muda mrefu, tangu 2014.
Najaribu kulinganisha na simu zetu za tecno za 2014
Jamaa kwa ujumla wako vizuri sana. Wanatoa kitu kilicho bora sana, kiulinzi, kimatumizi na kimvuto pia. Sizani kama kuna kampuni nyingine ya simu ambayo inafanya kazi kwa ueledi vile kwa ajili ya wateja wake. Labda simu za sony kwa mbali.
 
Samsung nao wanajitahidi
Mfano galaxy s6 ni simu ya mwaka 2015 lakini mpaka leo inauzika sana tu lakini jaribu huawei ya mwaka huo au tecno,
 
Unaposema hv kumbuka pia iphone wanatoaga flagship tu kwahyo kiubora kukaa miaka yote hii sio jambo la ajabu!

Ni simu za muda mrefu mkuu...zilitoka 2014 na sa hv almost miaka 5 imepita so ni kawaida bei yake kushuka kuwa ivo na hz za sasa ni refurbished japo zinapiga kazi vzuri tu kama iphone nyenginezo!
Mie nAtaka mkuu six kama yako mkuu hebu niconnect ila hizi iphone zetu mbona zinakua cheaper Sana Jana nimemtuma mwanangu anichekie iphone 6plus naambiwa ni kama laki sita nini tofauti ipi au wachina hawa ndio walivyo zimekua refurbed
 
Mie nAtaka mkuu six kama yako mkuu hebu niconnect ila hizi iphone zetu mbona zinakua cheaper Sana Jana nimemtuma mwanangu anichekie iphone 6plus naambiwa ni kama laki sita nini tofauti ipi au wachina hawa ndio walivyo zimekua refurbed
Mara nyingi hiz
Samsung nao wanajitahidi
Mfano galaxy s6 ni simu ya mwaka 2015 lakini mpaka leo inauzika sana tu lakini jaribu huawei ya mwaka huo au tecno,
😂😂😂 unaweza lia ukichukua za miaka hiyo
 
Unaposema hv kumbuka pia iphone wanatoaga flagship tu kwahyo kiubora kukaa miaka yote hii sio jambo la ajabu!
Eeeh na kweli kabisa na ndio sababu kubwa inayofanya hizi simu ziwe bei ghari sana, kutokana na mfumo wa uuzaji wa flagship phones
 
Njoo na ofa yako
892b04a375693e5800314c94270bfa2b.jpeg
92a9ce015cca74c2946912e670543727.jpeg
4a2e4df063807f6eaec92eb6d781cc37.jpeg
 
Na Mimi nauliza: Hizi simu bado zinatengenezwa kiwandani au,ni zile zile za 2013 hazijaisha?
IPhone 6 ndo simu iliyouzwa zaidi

Azitengenezwi tena mkuu simu zinazotengeneza tena toka sept 2016 apple alivyotangaza iphone 7 zilizopo ni zile ambazo mtu ame upgrade kwenda 7 kwaiyo china wanazitengenezea jumba jipya refurbished phone mkuu simu zinazotengenezwa now 7 na kuendelea au ingia kwenye web yao utaona sim ambazo wanatengeneza zinakua kwenye display yao ila apple ndo product kama utapata nzuri basi utakaa usaau fundi simu maishani mwako kwenye ulimwengu wa smartphone nakushauri chukua 6s ndo nzuri zaidi mana itakua na uwezo wa kupokea os mpya 13 pia na kamera yake ni kubwa pia alafu apple wana option ya kuangalia life ya battery kabla ya kuchukua angalia ilo muhimu
 
Back
Top Bottom