MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,106
- 4,619
kamuinua tenaMheshimiwa kafanya uamuz gan kwa jamaa
kamuinua tenaMheshimiwa kafanya uamuz gan kwa jamaa
Naamini haujavuka miaka 25Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili.
Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia kazi miaka miwili iliyopita,basi kuanzia kipindi hicho nikawa mteja wake wa vitumbua.
Nimekuwa nikimchukulia kama mdogo wangu na ananiheshimu kweli kama kaka yake,lakini Siku za hivi karibuni nimejishangaa naanza kumpenda huyo binti,kingine pamoja na ujuwaji wangu wote lakini Siku hizi tukikutana huwa ninakosa ujasiri.
Kiukweli Mimi huyo binti sishindwi kumpata lakini nina sita sana kwa sababu kati ya kitu ambacho sikipendi ni kuwa ana uhusano na mwanafunzi.
Sio kwamba ninaogopa jera pekee hapana,lakini na mimi nina wadogo wangu wa kike nao wana soma kama huyo binti.
Kuna msemo mmoja unasema usimtendee wenzio jambo ambalo we we hutaki utendewe,na ni kweli Mimi nimekuwa nikiwasihi wadogo zangu kuepukana na hayo mambo wakiwa bado ni wanafunzi.
Lakini kila nikijitahidi kujitoa kwenye huu mtego ninashidwa,huwezi amini eti kuna kipindi huwa ninakosa usingizi kwa sababu ya huyo binti.
Ninaamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunishauri ili niondokane na huu mtego wa mapenzi.
Una miaka mingapi?,huwezi amini eti kuna kipindi huwa ninakosa usingizi kwa sababu ya huyo binti.
Mdau we weMara nyingi huwa tunajadili hapa kuwa wanaofungwa kwa kutembea/kuwapa ujauzito wanafunzi wanaonewa sana ila kuanzia leo inabidi nianze kuunga mkono juhudi za mahakama kuwafunga wapuuzi kama nyie.Yani hizo hormones umeshindwa kabisa kuzi-control?.Hapo hakuna cha kumpenda zaidi ya tamaa yako ya ngono tu ndo inayokupeleka puta."Eee mungu baba,naomba huyu mdau mpuuzi ampe mimba mwanafunzi kisha afungwe.Pokea maombi yangu eee baba.AMINA"
Ndugu Mimi ni mtu mzima kwahiyo hiyo jera ninaijuwa kwamba ipo pale utakapo mpa mimba mwanafunzi.Mara nyingi huwa tunajadili hapa kuwa wanaofungwa kwa kutembea/kuwapa ujauzito wanafunzi wanaonewa sana ila kuanzia leo inabidi nianze kuunga mkono juhudi za mahakama kuwafunga wapuuzi kama nyie.Yani hizo hormones umeshindwa kabisa kuzi-control?.Hapo hakuna cha kumpenda zaidi ya tamaa yako ya ngono tu ndo inayokupeleka puta."Eee mungu baba,naomba huyu mdau mpuuzi ampe mimba mwanafunzi kisha afungwe.Pokea maombi yangu eee baba.AMINA"
Mpe tu mimba utaepukana nae.
NilikumissNimekuhamu kweli kweli[emoji23] crazy yako iyo sasa nilikuvizia nikakupiga picha usikuView attachment 1175444
Ushauri mzuri nitauzingatia.Ndugu RTI, si umesema huyo binti unamuona kama mdogo wako! sasa iweje ume develop lust kwa mdogo wako, mmana hicho ikisemacho sio LOVE ni LUST! Hakika nakuambia ukimalizana na huyu binti, kesho utakuja JF kuomba ushauri wa kuepuka kumtongoza huyo mdogo wako anayesoma...waswahili tunasema " Ukiheshimu mke, ndugu hutomtamani"...kwenye kitabu cha Things fall apart kunasehemu jamaa anaambiwa....." that boy who calls you father, do not share the hand in his death..." jamaa hakusikia. yaliyompata.....nami nikinakiri maneno hayo nakuambia...."that girl who calls you brother, do not dare approach/seduce her....."
Ni kweli kabisa kuna mda hisia za kimapenzi zinampelekesha mtu pasipo hata yeye kujijua kama anakoelekea siko, ila kwa ushauri wangu achana na tamaa ya huyo binti, ikiwezekana kaa nae mbali tu angalau amalize hata shule tu ndo uje umweleze hisia zako kwake. Usiruhusu tamaa ya mda mfupi ikakupeleka kwenye shimo la chatu.Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili.
Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia kazi miaka miwili iliyopita,basi kuanzia kipindi hicho nikawa mteja wake wa vitumbua.
Nimekuwa nikimchukulia kama mdogo wangu na ananiheshimu kweli kama kaka yake,lakini Siku za hivi karibuni nimejishangaa naanza kumpenda huyo binti,kingine pamoja na ujuwaji wangu wote lakini Siku hizi tukikutana huwa ninakosa ujasiri.
Kiukweli Mimi huyo binti sishindwi kumpata lakini nina sita sana kwa sababu kati ya kitu ambacho sikipendi ni kuwa ana uhusano na mwanafunzi.
Sio kwamba ninaogopa jera pekee hapana,lakini na mimi nina wadogo wangu wa kike nao wana soma kama huyo binti.
Kuna msemo mmoja unasema usimtendee wenzio jambo ambalo we we hutaki utendewe,na ni kweli Mimi nimekuwa nikiwasihi wadogo zangu kuepukana na hayo mambo wakiwa bado ni wanafunzi.
Lakini kila nikijitahidi kujitoa kwenye huu mtego ninashidwa,huwezi amini eti kuna kipindi huwa ninakosa usingizi kwa sababu ya huyo binti.
Ninaamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunishauri ili niondokane na huu mtego wa mapenzi.
usiache sasa kunipitia tutoke nje (OUT)Nilikumiss
Hahaha ya Eid al Haji hiyoooo
Mmmh yule aliyefungwa juzi ana miaka kama yako
Ushauri mzuri nitauzingatia.Ni kweli kabisa kuna mda hisia za kimapenzi zinampelekesha mtu pasipo hata yeye kujijua kama anakoelekea siko, ila kwa ushauri wangu achana na tamaa ya huyo binti, ikiwezekana kaa nae mbali tu angalau amalize hata shule tu ndo uje umweleze hisia zako kwake. Usiruhusu tamaa ya mda mfupi ikakupeleka kwenye shimo la chatu.