Recent content by Ndinani

  1. N

    Mzee Butiku: Tukubali tunaye Rais

    Butiku anatumia jina la mwalimu Nyerere kama kitega uchumi!! Hana hadhi na ndio maana kwa ubadhirifu wake taasisi ya mwalimu Nyerere ilinyang’anywa usimamizi wa usuluhishi wa mgogoro wa Burundi!! Huyu Mzee hafai hata nusu.
  2. N

    Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

    Ujinga ule ule wa babu zake enzi za “Maji Maji” kuwa risasi za wazungu zingegeuka maji hivyo wasingekufa! Lakini kwa Pole pole kama wamemuua, Mzee Butiku atabeba huo msalaba mpaka atakapoingia kuburini. Butiku kwa kumuuza Humphrey kwa vipande vya fedha toka kwa Samia , amesaliti ukombozi wa nchi!
  3. N

    Rais Yoweri Museveni amemwajiri tena mshawishi (lobbyist) wa Washington, Joseph Szlavik

    The same playbook as that of Samia the butcher in Tanzania!
  4. N

    Maisha ya Dkt. Mpango baada ya kustaafu; Anamiliki shamba la mfano wa kuigwa

    He could only maintain his garden while in office because he was awosh with easy money! After retirement the place could go to waste! Do you think his children will be able to maintain the place after he is gone? Ndio mambo ya Mobutu hayo!!!
  5. N

    Maisha ya Dkt. Mpango baada ya kustaafu; Anamiliki shamba la mfano wa kuigwa

    Acheni uchawa, kuna shamba gani na vijumba vya kuigwa hapo? Hapo ndio kwao Buhigwe au hapa hapa Dar? Ukitaka mashamba ya mfano nenda kwa Prof. Mwandosya kule Busokelo!
  6. N

    Hii 'back turn' ya Butiku ni ya mashaka

    Nakubaliana na wewe kuwa Huyu Butiku sio mtu wa kumuamini kwani anatumia taasisi na jina la Nyerere kama kitega uchumi chake , na hana credibility tena kwa wa Tanganyika! Sio Siri kuwa kumsaliti Kwake Humphrey Polepole ni pigo kubwa sana kwa wazalendo wa nchi hii. Hata akatae vipi ukweli...
  7. N

    TANZIA Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia

    Marehemu Mzee Mtei ni mfano wa kuigwa na vijana wa nchi hii kwa misimamo ya kupigania ukweli na mapenzi kwa nchi yake na huo ndio uzalendo!! Vijana mkiendekeza “ uchawa” mnaofanya kwa Samia matokeo yake ni nchi kuzorota na hivyo kugawanyika kwa misingi ya kidini na kiasili hivyo kuwa rahisi...
  8. N

    Butiku: Sijui Polepole alipo, ingawa aliniaga

    Huyu mzee anatumia jina la Nyerere kwa manufaa yake binafsi hafai hata kupewa audience ya kuzungumza! Huyu ni mnafiki na muuaji inapendeza kama hiyo taasisi itamstaafisha! Hana hadhi tena kwa jamii ya wa Tanganyika. Huyu mzee ni mamluki na ni Kweli alimsaliti Polepole na ndio maana sasa anaweweseka.
  9. N

    Yoweri Museveni anaongoza mbio za urais dhidi ya Bobi Wine

    Alikwisha sema kitambo kuwa aliingia madarakani kwa mtutu hawezi Kuondolewa kwa karatasi! Hicho wanachofanya ni maigizo tu kuwahadaa wananchi na international community!
  10. N

    Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

    Wahuni ni Samia na nyinyi genge lake! Wasema ukweli ni wapenzi wa Mungu ila nyinyi mafisadi na vibaraka wenu ndio wahuni.
  11. N

    Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

    Kumuita mtu mzurulaji lofa sio tusi bali ni sifa yake. Na hiyo sio kauli ngumu ni ya kawaida sana!
  12. N

    Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

    Anamtumikia Mungu wake! Hawa chawa njaa Inawapunguzea utu wao!
  13. N

    Ni kweli kabisa tumefika huku?

    Basi hiyo Dua haimpati Mange!! Wanajisumbua!
  14. N

    PostGE2025 Serikali ya Tanzania yamfungulia Mange Kimambi kesi ya Uhujumu Uchumi. Adaiwa kutakatisha Tsh. Milioni 138

    Huyo mwanasheria mkuu yupo hapo kumdanganya Samia ili aonekane nae anafanya kazi kumbe ni boya! Hajui kabisa utaratibu wa extradition kutoka marekani!! Ubalozi wa marekani itabidi uhakikishe kwanza kuwa hiyo kesi siyo ya kubumba!
  15. N

    PostGE2025 Rais Samia, tusaidie kuwaagiza Polisi wamuachie Polepole kama ulivyoagiza wasimkamate Askofu Gwajima

    Bila Samia kung’oka, damu ya vijana itakuwa imepotea bure!
Back
Top Bottom