Ni kweli kabisa tumefika huku?

Ni kweli kabisa tumefika huku?

Na kuna watoto nao wapo hapo hapo wanashuhudia mambo haya. hili ni darasa lao la mwanzo kabisa katika maisha yao.

Ila inanibidi kidogo nikushangae wewe kwa hilo swali la mada yako. Bado huamini kuwa tumefika huku?; wakti kila siku humu humu Jf tunayashuhudia yote haya?

Kuna lipi jipya hapa, mkuu 'Mshana' ambalo ni tofauti na haya?

Sasa nakutahadharisha ujiweke tayari kwa yatakayofuata endapo waTanzania watamwachia Samia aendelee na mambo yake haya.

Akina Ritz na Tlaatlaah, Kaitan na wengine humu wanaitangazia vita kila siku TEC. Hawa hawatanii hata kidogo.
Mirembe inahitaji watu wengi
downloadfile-2.png
 
Attachments

  • downloadfile-2.png
    downloadfile-2.png
    976.4 KB · Views: 7
Uislamu hauna tatizo ni dini safi na ya haki.

Mimi muislam naelewa hilo.

Ila tatizo ni kuwa kuna waislamu ambao huitwa Mashekh ubwabwa hawa ni Kama watu kati, hata ukiwa umeua watu elfu tano unawaita unawapa posho wanakuombea dua

Changamoto kubwa ya waislamu Ubwabwa hawana Elimu ya dunia Ila wamekariri quruan juuu juuu.
Leo tumekubaliana lakini tutamke kwa pamoja
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
I don't play this game , I'm here to survive my instincts and not trend .
 
Nani anaruhusu haya mambo?
Mfadhili wake ni nani?
Nia yao ninini?
Matokeo yake ni yapi?
Kwanini tunaendelea kuruhusu kuonekana kituko cha dunia?

View: https://www.facebook.com/share/v/1BfeZK52Wz/

Hao ni wapuuzi tu hawana lolote, nakumbuka miaka kadhaa aliyekuwa Sheikh wa mkoa Dar es salaam Alhad Mussa na wajuba wenzake walimsomea dua hiyo Mange Kimambi na wakajiapiza kuwa hatakuja kupanua kinywa chake lakini kilichofuata ni yeye Alhad Mussa kufukuzwa kwenye nafasi yake hiyo ya Sheikh wa Mkoa. Hao wanatafuta kula hela ya Abduli tu
 
Hatutaki uchochezi ,na wwe mzee endelea na siasa zako za chuki ..Unatumia Jf kufanya harakati zako uchwara...Sijui TEC wana nguvu wako wapi ? Maisha yanaendelea .!
 
I don't play this game , I'm here to survive my instincts and not trend .
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Hakuna Mungu wa hivyo.Sema tu wameamua kufanya uganga wao basi.Al badri ya wapi mbona hawajawasomea walioua watu tarehe 29.Itageuzwa hiyo dua yao.Shauri zao tu
 
Wahuni hawa.
Mbona wauaji wa Watanganyika maelfu hawakusomewa hiyo albadiri?

Kwa hiyo hao wauaji wana haki ya kuteka, kufira, kuua, kuiba, na kutenda maovu mengine mengi halafu wanalindwa na huyo mungu wa albadiri 🚮
 
Pengine ndio wauaji wenyewe
 
Wapewe taarifa kuwa Mungu ana mengi ya kuyashughulikia na sio ujinga wao
 
Ila tatizo ni kuwa kuna waislamu ambao huitwa Mashekh ubwabwa hawa ni Kama watu kati, hata ukiwa umeua watu elfu tano unawaita unawapa posho wanakuombea dua
Ni vizuri sana umejitangaza mwenyewe; ingawaje nilishajuwa kinachokusumbua ni kipi hasa kwa maoni yako humu Jukwaani.

Sasa jaribu kujitafakari mwenyewe; unayo tofauti gani na hao unaowasema hapa; hao masheikh ubwabwa. Unawezaje mtu kama wewe kujiona kuwa kweli ni muumini wa hiyo unayosema ni dini safi wakati ukitetea uovu unaofanywa na viongozi wabovu hawa, ambao bila shaka unaungana nao kwa sababu tu ya uislam wao
Uislamu hauna tatizo ni dini safi na ya haki.

Mimi muislam naelewa hilo.

na pengine fursa unazopata zinazotokana na uislam wako!

Kwa nini uislam wako uwe sababu ya kufarakanisha waTanzania?
 
Kuwapost hao Mbwa nako ni kutotutendea Haki
Kwani Wakipotezewa na kuwadharau kuna shida gani
Sio kila Mpumbavu uhangaike naye
 
Back
Top Bottom