Kaka kama kwel na ww ni msomi. Na unafikir kuna haja mtaala wetu wa elimu ubadirishwe. Kijana msomi anaefikiria kama wewe ni janga kwa taifa.
Samaheni ila naomba nikwambie ukweli. WEWE NI MJINGA UNAEJIAMINISHA UNAAKILI.
Ujue haya hata watangazaji magwiji ulaya pia wanashindwa tamka majina ya kiafrika vizuri. Mfano wanyama wenyewe humuita WANYIAMA. ni jambo la kawaida kushindwa tamka neno lisilo Lugha yako, mm sion kama ni ttzo na kama n ttzo basi ni ttzo la dunia.
Hiyo system yako unayotaka iongoze nchi ndo haijatoka ulaya au?
Na hao watu weusi walio ongozwa na amri moja na au jeshi wamefika wapi zaid ya vita na mauaji.
Tatizo lako ndugu unauwezo mdogo sana wa kufikiria. Hujui hata kwa nn kwenye nchi kuna wakosoaji. Do you even know why w shud have...
Hahaha kaka kweli nina mashaka na uwezo wako wa kufikir yan mtu atoke mgodin geita na kwingne akalipe kodi chato kwa nn sasa usiwape huko maeneo yenye mugod hilo jengo maeneo yenye hospital za kisasa hzo dawa na maeneo yenye uhitaj wa kiwanja icho kiwanja. Kwa akil zako nyingi huoni hiyo ni...
Sasa kaka hatukatai chato kuendelea maaba nayo ni Tz na inawalipa kodi. Swali ni kwamba huo mpango wa hiyo miradi ya maendeleo ulikuepo tokea bajet zilizo pita kama ilivyo desturi. Au kwa sababu Mtukufu rais kaingia madarakan sasa inapewa kipaumbele? Swali ni kwamba kwa nn Chato kwenye...
Kwa. Hyo mkuu kama hamna freewill Mungu anajua teari idadi ya watu watakao enda motoni na peponi?? Kama hamna freewill kwa nini Mungu kaumba mema na mabaya??
4 my point I view I thnk God knw everythng aabout us but gives you an option to say Yes or No still he knws wht will happen if you choose...
This is the place of great thnkers not great fools like you acha ukichaa kaka upumbavu na kuto fikir kama mtu mzima sio sifa
Tunaelewa your a wooden boy a watch dog kutenda bila kufikir ndo mnavyo amliwa ila hum ndan tunataka mawazo na fikra za watuwazima sio huo upumbavu wako
sio kes akin...
Ukweli gani ambao ww unauona apo jamaa ebu tueleze ww mwenyewe una elim gan umesomea wap na unafanya kaz gan au ndo walele UD bora na mwaka wa nne mtaani hadi vocha kwa mama???
Daaa hv na unataka watanzania wafikir kwa upeo mdogo kama ww na mwenzako??? And u call your self a great thinker??
Mfano mzur ni ww na mwenzako thinking capacity zenu au na nyny mmesoma UDOM kwel nyiny wth that thnkng capacity siwez hata kuwajir muwe walinzi go back to school
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.