Recent content by ndikuz

  1. N

    Rais anataka kuwahadaa wafanyakazi

    Chama cha Wafanyakazi kikifika mahala kikawa na uimara wa kiuchumi na kikawa na viongozi wa kusimamia vizuri huwa tishio kwa Serikali,! Hapa hoja siyo kwann Walimu wanakatwa suala ni hofu kwa Serikali iwao cwt itasimama vizuri kiuchumi!
  2. N

    Naomba Mnishauri nilime zao gani

    Kama eneo lina maji ya uhakika na uneza pata eneo km heka moja lima mahindi kwa lengo la kuuza mabichi inalipa, I have same plan niko mbeya pia!
  3. N

    Naomba ushauri mapenzi yananitesa

    Seriously u need advice for this? Anyways kwa kuwa umri wenyewe ndo hivo acha waendelee kukushauri mimi nikitia neno ntakutukana tu bure!
  4. N

    Jeshi la Polisi lafanikiwa kuwaua majambazi wanne na kurejesha baadhi ya silaha zilizoporwa

    Umeziona hizo siraha wewe? Au hata km zimeoneshwa una uhakika gani ndizo? Au umesahau tunaishi Tz? Nchi yenye dramma lukukiiiii
  5. N

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Usiwe mjinga wewe, waache kushughulikiwa wavamizi wa vituo vya habari na studio na mitutu, watekaji nyara watu na kujinasibu kabla ya ck fulan watapatikana na kweli inakuwa hivo, wanaamrisha watu kuwatolea bastola hadharani na hawafanywi chochote, leo unakuja na upimbi wako eti Gwajima...
  6. N

    Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi?

    Mchokoza maada sikumuelewa pengine kwa kuwa alijaribu kuweka vitu vingi kwa wakati mmoja, wewe kwa ufafanuzi huo mfupi nimekuelewa vema!
  7. N

    P. Makonda: Nguzo ya bandia iliyomong'onyoka kama kipande cha mkate kilichotiwa kwenye kikombe chai

    Tukimuacha mawe yatanyanyuka kusema, acha tumtendee Haki sawa sawa na anavyostahili....
  8. N

    Kwa kashfa hizi za kuhusishwa na biashara ya mihadarati, Freeman Mbowe jiuzulu Uenyekiti CHADEMA

    Kwanza mimi co Dada, pili cdhani km ni Mwenyekiti wako saana lbd utakuwa umetumwa na wanalumumba tu, ungelijua ameplay role gani mpk Chadema ikasimama mpk hapa ilipo leo usingeweza kuongea huo upuuzi....
  9. N

    Kwa kashfa hizi za kuhusishwa na biashara ya mihadarati, Freeman Mbowe jiuzulu Uenyekiti CHADEMA

    Jamani mtu akipost ujinga kama huyu dawa ni kukaa kimya tu! Ku comment ni kumpa bichwa lkn km hakuna comment hata moja atajijua kama ni Bashite type kesho hatorudia tena!
  10. N

    Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    Heh! Ckujua kama Fred Mpendazoe kuna wakati anakuwaga mpuuzi wa kiasi hiki, mbona huwa uko makini na machapisho yako yanakuwaga ya akili umepatwa na nini Mzee...?
  11. N

    Lema ni Mwanasiasa wa Kawaida, Ila Chuki ya Watawala Imemfanya awe Shujaa

    Mpaka uwe na akili timamu ndo utaona...!
  12. N

    Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    Majaji nao wanafiki tu, kwani kwa muda wote walikuwa hawajui kinachoendelea km ni ubakaji wa haki dhidi ya Mh.Lema!?
Back
Top Bottom