Recent content by Ndiki de boss

  1. Ndiki de boss

    Namna rahisi ya kupata leseni ya udereva

    Safi kwa ufafanuzi mzuri
  2. Ndiki de boss

    Mlioko mbeya tusaidieni ufafanuzi juu ya Mtoto alielawitiwa huko na taarifa zikamfikia mkuu je ni igizo au ni taarifa za kweli?

    Wenyeji wanasema anacholalamikia yule mama ni haki za mtoto ikiwa ni pamoja na matibabu,kwenda shule na mahitaji mengine muhimu! Inaonekana ni Kama mama huyo hakujua sehem anayotakiwa kwenda kwa ajili ya kupata msaada huo ndio maana anasema alienda kwa jaji mkuu,IGP na vituo vya polisi ambavyo...
  3. Ndiki de boss

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nilichukua mkopo nmb mnamo mwaka 2016,makato ya kwanza ilikuwa ni sh 150332 lakini mpaka Sasa makato yamepanda kufikia tshs 153664,je ni kweli asilimia za makato huwa zinaongezeka kadri muda unavyokwenda? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Ndiki de boss

    Faida za kuwa Polisi, JWTZ au Usalama wa Taifa

    Hata polisi hukatwi feza ya bima,unatibiwa free of chaji Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Ndiki de boss

    Faida za kuwa Polisi, JWTZ au Usalama wa Taifa

    Hapa umedanganya mkuu,tunaonaga hapa Tabora valangati la polisi na wanajeshi mpaka viongozi wanaingilia kati,Sasaiv kuna mazoezi ya pamoja kila jumamosi ili kuepusha dhahma za mara kwa mara Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Ndiki de boss

    Wezi wa Kariakoo wanatumia dawa au ni ujanja tu?

    Mi niliwahi ibiwa tena kiboya kweli, Mitaa ya tandika sokoni niliwakuta jamaa wanacheza michezo flani ivi ya kadi,zile kadi zina pande mbili upande wenye namba na usio na namba ,nikaangalia kwa makini kadi yenye namba kisha nikaweka fedha kama 60 thousands ivi,jamaa wakanambia umekula ongeza...
  7. Ndiki de boss

    Ujerumani: Mtanzania afariki kwa kuchomwa sindano ya sumu kwa hiari

    Daaah rest in peace mpendwa [emoji25][emoji25][emoji25] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ndiki de boss

    Mwanafunzi ajinyonga hadi kufa kwa taulo

    Labda akili yangu ni finyu,binafsi siwezi kugombea maiti...hakuna ardhi isiyozika! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ndiki de boss

    Azam Tv Baraka Mpenja mmempeleka wapi?

    Tunakosa ule udambwi udambwi kwa kweli [emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ndiki de boss

    TUJADILI: Hukumu kwa waliochoma Kituo cha Polisi Bunju A

    Kwa mujibu wa sheria kulikuwa hakuna hukum tofauti na hiyo,tusijifiche nyuma ya umri wa huyo dogo kama hakuna sheria inayomlinda! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ndiki de boss

    Hatua zipi za kuzifuata katika kumshitaki Askari Polisi?

    Mbona polisi wa marekani ndio wanaosifika kuwa waungwana nao pia ni waonevu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ndiki de boss

    Hatua zipi za kuzifuata katika kumshitaki Askari Polisi?

    Mbona polisi wa marekani ndio wanaosifika kwa kuwa waungwana nao pia ni waonevu? [emoji125][emoji125] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ndiki de boss

    Wananchi wa Mafia tunahitaji usafiri wa uhakika na bei nafuu

    Mkuu umenikumbusha mbali aisee, Iroba niliwahi kuuza duka maeneo ya Kanyaondo kwa mzee mayaya,duka la jamaa mmoja anaitwa Hamisi...dah nimepanda sana Mwahwayo Rwazi-Iroba mpaka Kashekulo,mchangani,rushonga n.k. Mambo ya degere bana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ndiki de boss

    Bei za mafuta kwa Desemba 2018 zapanda. Bei hizo kuanza kutumika Desemba 05

    [emoji125][emoji125][emoji125] Ni mwendo wa kupaki ndinga tu
  15. Ndiki de boss

    Wadada mnaotokea Muleba na Karagwe mnakuja kutafuta maisha Dar hebu badilikeni

    Mzee baba umesomea rubya seminary ama Humura kwa Mr Mafigi!? Uko sahihi kabisa ..nmeishi visiwani ,,kule population ni ndogo mno ..niliwahii ishi rushonga,iyumbo,gozba,kinagi na iroba,,
Back
Top Bottom