Recent content by Ndidova

  1. Ndidova

    Matokeo ya MNH ya usahili uliofanyika Duce: Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano

    Jambo hili hata mim huwa siliamin kabisa ni bora maswali yangekua ya kuchagua lakin Mara nyingi mitihani yao tunaona ni ya kutoa maelezo majibu yanatoka ndani ya saa24 watu zaid ya buku, sina iman kabisa na ufanis wao katka hili
  2. Ndidova

    Msaada: Naomba kufahamishwa namna ya kuomba kazi kupitia 'Ajira Portal'

    Okey ngoja nikabadilishe kidogo chet changu cha computer niliweka kwenye other attachment nafikili nilikosea
  3. Ndidova

    Msaada: Naomba kufahamishwa namna ya kuomba kazi kupitia 'Ajira Portal'

    Je usipofikisha 100% uwezekano wa kuitwa kwenye usaili unapungua?
  4. Ndidova

    PPF Tanzania walitangaza nafasi za kazi mbalimbali mwezi wa sita, je wameita watu katika usahili?

    Unachukua vyeti vyako orijino unaenda kutoa kopi, baada ya hapo unaenda mahakani au kwa mwanasheria kugonga muhuri (cetify) hizo kopi, then unascan kopi ya vyet orijino ulivyocetify ndio hivyo unavituma
  5. Ndidova

    Mwenye kujua haki za wafanyakazi anisaidie

    Sheria ya kazi inakupa mfanyakazi likizo ya ugonjwa ya siku 126, Siku 63 za kwanza utalipwa mshahara wako kamili, na siku 63 za mwisho unalipwa nusu mshahara wako Baada ya kipind hicho kama utashindwa kurud kazin mwajir i anaweza kukuondoa kazini kwa sababu hiyo ya Ugonjwa na kukulipa malipo...
  6. Ndidova

    Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma yatangaza nafasi za kazi 189

    Hata mim hili jambo linanitia shaka sana ngoja tusubil majibu kwa wahusika
  7. Ndidova

    Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma yatangaza nafasi za kazi 189

    Hata mim hili jambo linanitia shaka sana ngoja tusubil majibu kwa wahusika
  8. Ndidova

    Harakati za mtu mweusi kesho nimeamua kujitoa ufahamu kwa kupata kazi

    Kuoboresha zaid ushauri wako kama anamaanisha kweli apite mandera road kuanzia hapa Riverside kuna kiwanda cha unga kama sikosei, Pia Gereji kuna kiwanda aende had buguruni kuna viwanda kibao miaka miwil nyuma ilikua elfu4 had5 kwa siku, na ekf7 ukiingia usiku, awahi mapema kabla ya saa2 asubuh
  9. Ndidova

    Taja misemo ya wahenga isiyo na tija

    "Kadili unavyozidi kutanua ndio watu wanazidi kutamani"
  10. Ndidova

    Ushauri kwa ewe Kijana unayesaka Ajira.

    Hata mim nasubil jibu hapo
  11. Ndidova

    Kuitwa kwenye usaili TFDA

    Written pepa za utumishi huwa zinabez kwenye taaluma husika au general mfano wa aptitude test?
  12. Ndidova

    Iringa municipal vs Shinyanga municipal

    Nafikili mleta uzi ungekuwa wazi unalinganisha Iringa na Shinyanga kwa kigezo kipi, lakin hii mikoa haiendan Iringa ni zaid Labda yaweza kufanana kwa uchangia wa pato la taifa Shinyanga kuna migodi na Iringa kuna wilaya ya Mufindi ambayo inachangia pato kubwa kwa sababu ya uwepo kilimo cha...
  13. Ndidova

    Watanzania kampuni hii ya mabasi ni hatari sana

    Nafikili tumpe muda muda Dereva wetu ni ugeni tu wa njia atatulia vizur barabaran labda atatufikisha safari yetu, we si unaona anavyojinad kuA Dereva ni yeye tu Tanzania, anataka hata kupinga madereva waliomtangulia waliofanya kampuni hiyo ifike hapo ilipo
Back
Top Bottom