Kuitwa kwenye usaili TFDA

Kuitwa kwenye usaili TFDA

Hiyo written itakua aptitude test, inapima uwezo wa maths, english na logic. Labda na mswali machache ambayo ni basics tu ya field husika.

Practical itakua directly related to the field, na ICT ni technical field kama hujui hakuna ubabaishaji ndo maana kuna practical interview.

Kwa hiyo ili uweze kutoboa interview za namna hyo inabidi uwe vizuri kwenye sehemu zote mbili.
 
hapana mkuu sio kulalamika hivi sio vizuri nikusumbua wanaomba kazi fikiria hapo kuna watu wa mbeye , kigoma, mwanza na kwingineko ni gharama kiasi gani watazitumia kufanya usaili hewa. tunaongezeana umasikini kwa namna hii , mfano mwingine ni Gaming Board walikua wanahitaji muhasibu 1 alafu wakaita watu 2600 unaona ni fair hiyo???

Sent using Jamii Forums mobile app

Simple sana mkuu.

Ukiona wanakusumbua achana nao usiende kaa usubiri siku mtakayoitwa watu 10 ili hali hauna uzoefu kwenye soko hili la ajira lenye wahitimu lukuki.
 
Mim binafsi nazani ni kulalami sababu kama watu wamekizi vigezo wasiitwe?,je unajuaje katika hao ambao wameitwa wamechujwa kutoka katika idadi ya waombaji wangapi, mtafuta ajira yoyote kwa sasa ambae anasubiri usaili wa kuitwa watu chini ya 100 kkwa ajili ya usaili wa awali labda asubiri 2020 kwenye usaili wa urais, kikubwa Mimi nachoweza kushauri kama raia wanadai wanatoka mbali usaili uwe unafanyika kikanda,
 
ikiria hapo kuna watu wa mbeye , kigoma, mwanza na kwingineko ni gharama kiasi gani watazitumia kufanya usaili hewa
Mkuu Usaili mbona fair mkuu? Huoni takwimu waliopiga pepa written wamechujwa? Kwani ukitoka mbeya, Iringa, Kigoma na mikoa mingine kitu gani kinazuia usifaulu mchujo? Mtihani wa Utumish Always umekuwa ni Mfumo huru mkuu; Has siku izi, uwezo wako tu Kichwani, Vitendo na Kujielezea vizuri baas
 
Written pepa za utumishi huwa zinabez kwenye taaluma husika au general mfano wa aptitude test?
 
Kwa wenye uzoefu na paper za utumishi mitihani yao ya mchujo huwa ikoje?
 
hapana mkuu sio kulalamika hivi sio vizuri nikusumbua wanaomba kazi fikiria hapo kuna watu wa mbeye , kigoma, mwanza na kwingineko ni gharama kiasi gani watazitumia kufanya usaili hewa. tunaongezeana umasikini kwa namna hii , mfano mwingine ni Gaming Board walikua wanahitaji muhasibu 1 alafu wakaita watu 2600 unaona ni fair hiyo???

Sent using Jamii Forums mobile app
hujalazimishwa kuja
 
Nije wp tena umesikia kwamba nataka ajira?? nilichotoa hapo ni mchango wangu nikizingatia hali za watanzania wenzangu. usipende kutumia matatizo ya wengine kujinufaisha, au hauelewi hapo think critically

Sent using Jamii Forums mobile app
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu peleka hasira za kukosa ajira kitaaa wewe,
 
Unawachujaje watu wenye sifa zinazolingana kupata hao 20?

Unajua maana ya usaili wa mchujo?

Wangeita watu 20 bado mngelalamika wamependelea watoto wa wakubwa huku watoto wa wakulima mumeachwa, sasa mumepewa nafasi sawa ya kupambana bado mnalalamika, shida ni nini?

Tupunguze kulalamika ndugu zangu.
Shida ni nafasi chache watu 1257 kwa post 4... doh at least wangeita hata 150 kwenye written.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom