Amini mrs air...haya mabasi mengi si watu wakawaida.unaweza zani umepanda basi kumbe uko kwenye punda
Nafikili tumpe muda muda Dereva wetu ni ugeni tu wa njia atatulia vizur barabaran labda atatufikisha safari yetu, we si unaona anavyojinad kuA Dereva ni yeye tu Tanzania, anataka hata kupinga madereva waliomtangulia waliofanya kampuni hiyo ifike hapo ilipoSafari tuliyoitegemea ichukue siku chache tu sasa imekuwa ndefu zaidi na ngumu na hatujafika hata robo ya safari hii. Kampuni ya mabasi tuliyoichagua ndo inatukwamisha na kupelekea safari yetu kuwa ngumu na ndefu sana
Siku zote hizi tukiwa njiani tumeshapata tabu sana njiani, lakini kwa bahati mbaya tukifika kituo kinachofuata hatubadilishi basi (kampuni nyingine) tunapanda tena basi lingine la kampuni ile ile ya mwanzo tukiwa na matumaini tutafika salama na kwa wakati lakini kila mara huwa habari inakuwa ni ile ile na kwa bahati mbaya tunashindwa kuwa na ujasiri au ufahamu wa kushuka na kupanda basi la kampuni nyingine
Tuko kwenye basi la kampuni hii mbovu lakini sasa huyu dereva tuliye nae kidogo ananipa matumaini japo anayumbayumba lakini naona labda tumvumilie kwa sababu naona kama ndani ya basi tupo tunaomkubali na tupo tunaomkataa.
Tunamuombea kwa mungu atufikishe salama na kwa wakati maana waliomtangulia tena wa kampuni hiyo hiyo walituchelewesha sana...
Na tukifika kwenye kituo kingine kama mambo yatakuwa bado ni yale yale, nawashauri abiria wenzangu kwa pamoja tushuke tupande basi la kampuni nyingine....
Kwa sasa ni kumuombea tu dereva wetu mpendwa atufikishe salama....wala tusimpigie kelele tutamchanganya......
Safari tuliyoitegemea ichukue siku chache tu sasa imekuwa ndefu zaidi na ngumu na hatujafika hata robo ya safari hii. Kampuni ya mabasi tuliyoichagua ndo inatukwamisha na kupelekea safari yetu kuwa ngumu na ndefu sana
Siku zote hizi tukiwa njiani tumeshapata tabu sana njiani, lakini kwa bahati mbaya tukifika kituo kinachofuata hatubadilishi basi (kampuni nyingine) tunapanda tena basi lingine la kampuni ile ile ya mwanzo tukiwa na matumaini tutafika salama na kwa wakati lakini kila mara huwa habari inakuwa ni ile ile na kwa bahati mbaya tunashindwa kuwa na ujasiri au ufahamu wa kushuka na kupanda basi la kampuni nyingine
Tuko kwenye basi la kampuni hii mbovu lakini sasa huyu dereva tuliye nae kidogo ananipa matumaini japo anayumbayumba lakini naona labda tumvumilie kwa sababu naona kama ndani ya basi tupo tunaomkubali na tupo tunaomkataa.
Tunamuombea kwa mungu atufikishe salama na kwa wakati maana waliomtangulia tena wa kampuni hiyo hiyo walituchelewesha sana...
Na tukifika kwenye kituo kingine kama mambo yatakuwa bado ni yale yale, nawashauri abiria wenzangu kwa pamoja tushuke tupande basi la kampuni nyingine....
Kwa sasa ni kumuombea tu dereva wetu mpendwa atufikishe salama....wala tusimpigie kelele tutamchanganya......
Balim hazijawahi kumuacha MTU salamaabalimi na jua kali ni balaa
AiseeBinafsi sina imani na kampuni, basi wala dereva
Tokea enzi ya nyerere huu msemo.taratibu tutafika tu
Funguka uandishi wa mafumbo ni tabia ya wogaSafari tuliyoitegemea ichukue siku chache tu sasa imekuwa ndefu zaidi na ngumu na hatujafika hata robo ya safari hii. Kampuni ya mabasi tuliyoichagua ndo inatukwamisha na kupelekea safari yetu kuwa ngumu na ndefu sana