Harakati za mtu mweusi kesho nimeamua kujitoa ufahamu kwa kupata kazi

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
692
546
Habari wakuu...
Baada ya life kuwa gumu kitaa...nyumbani makelele mengi kwa wazee juu ya umri kwenda huku hakuna unachofanya yapi nimeamua....

Kuanzia kesho nataka kuzunguka viwanda vyote vya dar kutafuta chochote kitu...

Nitazunguka maduka yote,chimbo zote,bar zote,sitahacha kitu nimechoka kudharauliwa.....

Aisee naombeni mnipe machimbo mengine ambapo lazima NITOKE SALAMA.....

WAKUU MUNGU ANITANGULIE KUPAMBANA NA HALI YANGU...

NB...USINISHAURI KUFANYA BIASHARA PLEASE...
 
Safi,kunachimbo huwa naosha osha vyomba kwa mama ntilie kama unaweza njoo tulisongeshe jembe
28126a5ce54b8b4712bf90300d9f47d4.jpg

-Ndumilakuwili-
 
Mkuu unapoteza muda tu nenda mikoani hasa kigoma huko Magufuli katoa sehemu ya pori la kagerankanda walime mihogo nenda kalime asee ,makopa!udaga yanalipa sana kanda ya ziwa huku si unajua wenzetu kwa kula ugali
 
kazi hazitafutwi hivo utatimia mda nauli na kiatu kuisha na kazi usipati. tuma maombi kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshawahi kufanya kazi kiwandani wala hawahitaji barua ya maombi.
Kama uko Dar ingia ITV mwenge kule huwa wanatoa night shift kwa mshahara wa 7000-9000 per shift,.ukikosa pitia hivi viwanda vya bakhresa na vya pembezoni kuelekea buguruni malipo yake yanaelekea kufanana.
Pambana pia kwenye ujenzi wamaghorofa au barabara unaweza kupata namna ya kujiweka.
Usione aibu,jiamini na ujue nini unahitaji.

love thé love or hâte thé love.....
 
Kuoboresha zaid ushauri wako kama anamaanisha kweli apite mandera road kuanzia hapa Riverside kuna kiwanda cha unga kama sikosei, Pia Gereji kuna kiwanda aende had buguruni kuna viwanda kibao miaka miwil nyuma ilikua elfu4 had5 kwa siku, na ekf7 ukiingia usiku, awahi mapema kabla ya saa2 asubuh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom