Recent content by Ndety Mbise

  1. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

    Anatisha
  2. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Jiajiri kwa njia zote upendazo

    Weka namba yasimu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya amuweka ndani mkuu wa shule baada ya kuruhusu mwanafunzi mwenye mimba kuendelea kusoma

    Umesema kweli@Kadhi Mkuu yaani sheria zingin ni za kijinga sana zimekosa jicho la tatu!kwamba je kama mama atafukuzw shule,baba atafungwa miaka 30 je mtoto ambaye atakaezaliwa atapataje haki zake? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mganga wa kienyeji amchinja binti kisha kuchoma kichwa cha binti huyo

    Uwiiii roho imeniuma San jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Hii post ya OMMY DIMPOZ haileti picha nzuri kwa jamii !!!

    Huyu Ommy huwa no zero brain huwa anawaza ngono kila Mara !post zake zote ni ngono tu !!kam vipi pitia page yake ya Instagram .... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Kumekucha! Bifu la Watangazaji wa Shilawadu na RC Makonda lafikia patamu na limenoga sasa

    Jamani Ngwajima alisema lakini kuwa,anayemshambulia lazima naye atashambuliwa tuuu!pole Bashite
  7. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Mwenye huo wimbo wa Ney anirushie tafadhali
  8. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Habari Ikulu mwambieni Rais haya kabla ya kulaumu vyombo vya habari

    Hongera Bulendu umefafanuA vizuri
  9. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Binafsi namuogopa sana mwanamke asiyeomba hela

    Kwann usubiri had uombwe?,wanawake wengine wanaona aibu kuomba
  10. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

    Mi ninaona tatizo la wema ana wivu sana hasa akiona rafiki yake anamzidi mvuto!hii ni kwasababu anajiona mzuri kuliko wengine!Nina experience sana na wadada wa haina kama ya wema coz yalishanitokea kwa marafik kam wawil hv,walikuw na tabia ya kuanzisha ugomv usio na kichwa wala miguu hasw kama...
  11. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

    Duu,?jaman hiyu Dada tangu waanze kumtukana badonjajifunzi?
  12. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    Safi sana japo kajibu swal moj tu
  13. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aandae Press Conference kujibu hoja za rais Magufuli

    Itapendeza sana
  14. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna wanawake wanachanganyikiwa na masharobaro na wanyanyua vyuma?

    Umeongea point sana kwa sababu ndo maana vijana wadogo wanakufa kwasabu ya kupenda kulelewa!Hata akifanikiwa kuoa in mzigo mkubwa kwn lazima akatafute mmama mwenye pesa zake amtunze.Sasa unakuta huyo mama mwenyewe kashaungua kitambo so anaupakua kisha anampelekea mke wake!!jamani vijana fanyeni...
  15. Ndety Mbise

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumlinda mumeo

    Jamani kama MTU ni wa mchepuko atachepuka tu !hata ungefanyie nini .wanawake tuache utumwa wa ndoa jaman coz kama mtu anaona lazima ale kila akionacho huwez mzuia mpaka achue uamuzi mwenyewe!Kwani ni wanaume wangap wanawaacha wanawake zao nyumban anaamua kuchepuka na mahousegirl wao ambao hata...
Back
Top Bottom