Jiajiri kwa njia zote upendazo

Jiajiri kwa njia zote upendazo

Asante, kama utaweza waweza fanya hivi kama ifuatavyo;
Kwa mfano, unaweza ukanunua nafaka kama mchele 100 kg ikaziweka kwenye vifungashio vya 5kg. Nenda kwenye ofisi au makampuni binafsi ukajibrand kuhusu bidhaa yako kuwa unauza nafaka na unasambaza majumbani kwa watumishi wa mashirika yaliyo sajiriwa kwa bei nafuu na uhakikishe una uza bidhaa zako kwa bei ya chini lakini yenye tija kwako kulingana na jinsi ulivyo nunua na haina haja ya kwenda shinyanga kahama, au kyela mbeya kwa ajili ya kununua bidhaa waweza pata hapo hapo bidhaa yako kwenye masoko ya Kariakoo, Buguruni au Tandika unachagua mchele mzuri wenye kunukia unachukua sample kama 20kg unaenda maofisini au kabla ya kwenda kwenye hayo maofisi unaorodhesha mashirika au kampuni unazotaka kwenda na unaenda kutafuta appointment ya presentation then unaenda siku nyingine na bidhaa yako na kuanza kuibrand.
Masoko ya bidhaa yako ni kama
1. Makambi ya Polisi
2. Makambi ya Jeshi
3. Mahospitali
4. Mashule n.k
Karibu sana.
 
Ahsante sana mkuu Hebu orodhesha biasha zingine ila usielezee ila nichague..

Habari ndugu, karibu kwa huduma.
Kwanza kabisa nikushauri jambo moja, je unapenda biashara na je upo teyari kuwa mwajiri? Kama jibu ndio, basi karibu kwa ushauri.
Kwanza kwa mtaji wako anza na biashara ya nguo za kike mfano vibode, gauni za charanga, madera, sketi, viatu vya chini(simple) alafu tafuta usafiri wa kukodi kwa masaa au siku kwa mfano tax, alafu jaribu kwenda kwenye mikusanyiko ya watu na makutano ya watu haijarishi ni soko au stend au popote pale ila sharti pawepo na mkusanyiko wa watu then unasimamisha usafiri wako na kuanza kupiga mnada bidhaa zako ila jitahidi kutoa ofa ya bei ndogo kwa sababu bidhaa zenye uhitaji na zenye soko ni bidhaa zenye bei ya chini.
Bidhaa mahali zinapopatikana ni Isirii Kenya, Kariako Tanzania.
Mtaji nakushauri utumie Tsh. 500,000/= kama idea testing then you will pursue.
Karibu sana.
Ahsante sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wapendwa.
Napenda kuwakaribisha wale wote wenye uhitaji wa kujua namna ya kujiajili na kuongeza kipato cha ziada. Nimeguswa na swala zima la ajira na kujiajili kwa watu wa rika zote. Kwanza kabisa mimi ni mbunifu wa mawazo ya kibiashara madogo madogo, mawazo ya biashara za kati na mawazo ya kibiashara makubwa inategemea na uhitaji wa mtu.
Kama utapenda kuuliza chochote kuhusu wazo la biashara nipo hapa kukusaidia, wazo linaanza na kiasi chochote cha pesa ulichonacho kwa mfano; Tsh.2,000/= mpaka Tsh.2,000,000,000/=.
Karibuni sana!
Aisee mkuu umesomea au??
 
Mkuu pole sana inawezekana una wazo zuri na pengine ni una uwezo was kushauri ila kutokana na utapeli wa mitandao watu wengi wamepata mashaka.

Mimi nikuulize jambo mmoja, kama mjasiriamali ana mtaji wa biashara kati ya million kumi na million thelasini, anataka kuingia kwenye sector ya unga wa mahindi lakini kwa strategy ya kupunguza number of players in value chain as well as total product cost. Ni hatua gani zinaweza kutumika.
 
Inakupasa uchukue muda kidogo,
1. Tafuta mashamba ulime wewe mwenyewe kuna mbegu zinatoa gunia lenye uzito wa 120kg, gunia 40-45@1heka.
Tafuta mtaalamu wa kilimo atakusaidia kujua mbege nzuri kwa eneo lako.
2. Ingia mkataba na wakulima wa maeneo tofauti kwenye ununuaji wa mahindi, sasa hapa itategemea upo maeneo gani na kutakuwa na umbali gani wewe kupata bidhaa hiyo.
3. Tumia nguvu ndogo kujitangaza kibiashara ili upate kujifunza makosa kupitia uzalishaji wako na kulijua soko lako vizuri.
Karibu sana, nakutakia mafanikio mema.
 
Mkuu ninashukuru, lakini hebu toa maelezo kidogo kuhusu effective distribution chanels inayoweza kutumika.

Kwenye kulima ninaona watu wengi wanapanga na kulima ila asilimia kubwa hushindwa kwa sababu ya hali ya hewa, pia ni ngumu kupata ARDHI nzuri ya mechanized agriculture pia sababu ya makadirio ya kipato yasiyo sahihi.
 
Ndugu mpendwa, mimi natoa mawazo ya biashara kwasasa bure kabisa kulingana na uhitaji wa mtu kutokana na uwezo wa mtaji wa kifikra na kifedha alio nao.
Baadae nafikiria kuanza kutoza fedha kwa huduma ya wazo, andiko la mradi na mtaji.
Ahsante, karibu sana.
Mimi nina mtaji wa elfu 50000.naomba ushauri ni Biashara gani yanifaa
 
Habari!
Sasa mpendwa, wewe upo mkoa gani na unahisi unaweza kufanya nini?
Biashara zipo nyingi tu isipokuwa unapaswa kuwa na utayari wa wewe kufanya biashara.
Biashara ambayo mimi nakushauri uifanye kulingana na kiasi cha mtaji wako na mazingira ambayo hiyo biashara inaweza kufanyika ni sehemu yoyote haijalishi ni mjini au kijijini.
1. Biashara ya matunda (Hapa hakikisha una andaa na kufanya utambuzi wa ofisi mbalimbali, mashule, chuo, mahospital, nyumba kwa nyumba ) na pia hakikisha unakuwa na vifungashio vizuri vyenye gharama ndogo ambayo utamchaji mteje pasipo yeye kujua.
2. Biashara ya nguo za watoto wa kike ziwe special na soko lake ni kama la matunda tu.
Karibu sana.
 
Mkuu ninashukuru, lakini hebu toa maelezo kidogo kuhusu effective distribution chanels inayoweza kutumika.

Kwenye kulima ninaona watu wengi wanapanga na kulima ila asilimia kubwa hushindwa kwa sababu ya hali ya hewa, pia ni ngumu kupata ARDHI nzuri ya mechanized agriculture pia sababu ya makadirio ya kipato yasiyo sahihi.
Mkuu ninashukuru, lakini hebu toa maelezo kidogo kuhusu effective distribution chanels inayoweza kutumika.

Kwenye kulima ninaona watu wengi wanapanga na kulima ila asilimia kubwa hushindwa kwa sababu ya hali ya hewa, pia ni ngumu kupata ARDHI nzuri ya mechanized agriculture pia sababu ya makadirio ya kipato yasiyo sahihi.
Upo mkoa gani na unapenda kuanza lini hiyo biashara yako?
 
Mkuu nina mataji wa ml 2 nipo dar nina mke nawza fany biashar gan
1. Waweza fanya biashara ya kusupply vyakula vya mifugo kama kuku, bata, ng'ombe n.k hapa nazungumzia vyakula kama mabaki ya dagaa, uduvi, mashudu ya alizeti n.k na anza na mtaji wa Tsh.500,000/=.
Kwa sasa mkoa wa dar es salaam kuna wateja wengi wenye uhitaji wa bidhaa hiyo pia hii biashara ina future tofauti na biashara nyingine.
Karibu sana.
 
Back
Top Bottom