Recent content by ndesamba6

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maskini mke wangu kumbe ulitoa mimba? Kwanini sasa hukunambia nifanye maamuzi?

    na huyo rafiki aliyempa taarifa mbona kisebusebu hivyo? Huo mdomo wake unawasha? Familia yako ikiharibika ndio ataona raha. Mxiuuuu:shock:
  2. N

    JamiiForums Tanzania Majibu ya maombi ya kazi kutoka kwa HR wa Adexec Oil & Gas Company

    samahani eti hiyo tarehe ni ya mwaka huu Jan 2014 au ujao?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Nimepata bikr.a Manzese

    mchepuko wako ndio njia kuu ya wenzio! ushukuriwe greda uliyechimba barabara (kama kweli alikua bikra) semi trailer zinaanza kupita.
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya game atimliwa vaa pichu uende! makubwaa!

    hahahaa sawa ila kumtimua mwenzie na jasho na....jiharufu cha shughuli...tabia mbaya.! :smile-big:
  5. N

    JamiiForums Tanzania Men Only: Which Bongo Celebrity you'd rather go out with?

    kwani nani kakumbia mimi mwanamke?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Men Only: Which Bongo Celebrity you'd rather go out with?

    isn't he a celeb au umeshangaa nini?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Men Only: Which Bongo Celebrity you'd rather go out with?

    Millard Ayo....ila asije na vya kurekodia...
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu tufundishane namna ya kuwaomba wanaume zetu HELA....!!(BEING A PRO GOLDDIGGER)...

    kwa nini Diet pills na surgery? gym nakuelewa, mimi nina tumbo flat sipendi kabisa kuwa na kitambi ila kikua kidogo tu ,"my future ex" anaanza kulalamka weeee, wakati likitambi lake ni kama mimba ya miezi mitano. so jamani msiwape presha wapenzi wenu na hayo madiet pills na surgery...too fake...
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu 'romantic' anakuwaje?

    Serio unafuata yale ya kitamthilia km jina lako nin? "Literally you were supposed to kiss"? Nadhani usingmsahau huyo dada km stori yako ni ya kweli. Thubutuuu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Heaven on desert akiwa hotelin na boss wake

    Kwani uongo kaka, alivyoishika tu haielekei km anaitumia. Na yes uma inashikwa mkono wa kushoto.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

    Eti zinc hizi sic pack zinaleta chakula mezani na ada ya watoto.? Walahi mi nikiona mwanaume kajaza mwili au katengeneza hayo masix paki attraction inakisha ghafla. Mwanaume anashinda gym simtaki chaaa ila haimanishi napenda vitambi. Kitambii big no.
  12. N

    JamiiForums Tanzania January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

    Hahahaa sio kila akupendae anaweza kukusupport na sio kila anaekusupport anakupenda.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Millard ayo,hujasikai ujio wa P square?

    Ni blog ya millard peke yake yenye kutoa info hizo? Acha ufyukunyuku kijana. Angeandika pia sidhani km usingemzungumzia.
  14. N

    JamiiForums Tanzania P-funk 'majani' apata ajali mbaya akiwa chooni....apasuka kichwani na kushonwa nyuzi 12

    Yani sio kinateleza ila ni kichaaaafu. Shame yani tiles zimegeuka rangi uchafu umekoomaa katikati ya tiles uwwiiiiii. Yani choo no sehemu ya raha kinapaswa kua safi kwelikweli sawa na jiko.
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanyiziwa na rafiki!!!!

    Mmenipa uchungu....nilimkopesha rafiki yangu alipungukiwa ada 1.2m na ilikua ni karibu na mitihani so angekosa kadi ya kufanya mtihani. Ni mfanyakazi na najua hadi kiasi cha mshahara wake mpaka ninavyoongea research amemaliza na anagraduate dec 2013. Kila nikimuuliza esa yangu ananipa matatizo...
Back
Top Bottom