Recent content by Ndenisa

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

    Hahahaha tunakusubiri duniani...fanya hima usichelewe
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

    Ngoja niende kwa namba kama nilivyoanza mwanzo: 1.Wewe na nani???????. 2. Swali sikuelekeza kwako ndugu nilielekeza kwa mtoa mada. 3. Hivi una kibali cha kuishi nchini Tanzania kweli, au ndio wale walengwa was oparesheni kimbunga . Maana hicho kiswahili ulichoniandikia nina wasiwasi na uraia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

    1.Hivi uliumbwa na Mungu?? Hebu mtafute kwa bidii yeye aliyekupa pumzi na sio huu uchafu majini. 2.Na hapa sio mahali pake, huku ni mapenzi, mahusiano na urafiki unatujazia idadi ya threads zisizo na msingi. 3.Hamishia mahali husika. 4.HIZO ROHO ZAKO CHAFU ZISHINDWE KWA JINA LA YESU KRISTO WA...
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jumatano natakiwa nikapime UKIMWI, confidence zero

    I should get hiyo kitu before sunset aisee
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wa hivi tunamfanyaje

    Yani anasahau aliambiwa watakula kwa jasho. Hajui kutafuta ni kuomba tu khaaa! Acha wenye kutafuta wagongee
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wa hivi tunamfanyaje

    Mimi nilishamkimbiza mmoja kwa ujinga huohuo mtu mzima kila siku kafulia, yani hakuna siku ana hela. Mishe zote hizi mjini hapa utakosaje vihela vya hapa na pale.
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

    Yani wewe upo kama mimi. Nitasumbuka rohoni sijui ndo moyoni lakini sitakaa nikutamkie neno samahani. Sielewi nipoje, I need to work on this lol
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasioweza distance relationship si waaminifu

    Hayajanikuta bado labda ndio maana....wewe yamekukuta ndugu?
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasioweza distance relationship si waaminifu

    Hawakukosea walivyosema hivyo hao mababu wa kale....teh teh
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasioweza distance relationship si waaminifu

    Sanaaa kumisiana kwingi nini...hupunguza kuchokana khaa...lol
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasioweza distance relationship si waaminifu

    Sioni ugumu wa kuhandle distance relation kama kweli mmependana
  12. N

    JamiiForums Tanzania Madereva wa kike - Nafasi

    Mawasiliano??
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchaga huyu nimetahadharishwa

    Hivi kuna asiyependa pesa kweli????
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata kazi ya muda (tempo)

    ndo iko wapi hiyo
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kimarangu ni hatari

    bora uwasaidie....wataishia kuja kuomba mikopo na lifti na kulalamikia serikali haiwaangalii....kumbe wenyewe ndo mabwabwa
Back
Top Bottom