Mpenzi wa hivi tunamfanyaje

Mpenzi wa hivi tunamfanyaje

Kuomba ilhali niko mzima kiakili na kimwili kwangu mwiko.

Been on my own since I was 18 and I've never asked even my parents for money.

Sasa sielewi dume zima unaanzaje kumwomba mtu mwingine hela.

Mimi nilishamkimbiza mmoja kwa ujinga huohuo mtu mzima kila siku kafulia, yani hakuna siku ana hela. Mishe zote hizi mjini hapa utakosaje vihela vya hapa na pale.
 
Hahahahahahahaha! Mambo ya haki sawa yamegeuka kuwa mwiba ghafla, kama kuna wanawake wanaweza kulala na mwanaume ili tu wapate pesa wengine mpaka kwenye simu zao wamesave majina tofauti mara shoping, vocha, honey, hata kwa wanaume ni hivyo hivyo kwa kizaz hiki cha haki sawa hivyo tuvumiliane tu ndo hali halisi
 
Mie kwangu sioni usumbufu.. sema inategemea na mahusiano yalivyo

I have friend of mine nilishawahi kumuomba mwenzangu ana kaz na kujenga keshajenga nakumbukla aliacha kupokea simu zangu hapa namsubiri kwenye kona siku ajipendekeze kunipigia na kujifanya ananijua sana! Mi ninavyojua kuomba msaada unapokwama sio kosa kosa ni pale ndo inapokuwa proffesional yako
 
Hahahahahahahaha! Mambo ya haki sawa yamegeuka kuwa mwiba ghafla, kama kuna wanawake wanaweza kulala na mwanaume ili tu wapate pesa wengine mpaka kwenye simu zao wamesave majina tofauti mara shoping, vocha, honey, hata kwa wanaume ni hivyo hivyo kwa kizaz hiki cha haki sawa hivyo tuvumiliane tu ndo hali halisi

tuvumiliane!!!! Daudi1 are serious?
 
Last edited by a moderator:
majanga haya wanaume mbadilike bhanaaaa. sio wote though
 
Mimi nilishamkimbiza mmoja kwa ujinga huohuo mtu mzima kila siku kafulia, yani hakuna siku ana hela. Mishe zote hizi mjini hapa utakosaje vihela vya hapa na pale.

umeona ee kuna mijanaume mingine inakera kweli yan kila siku mtu hana hela..kwan wanaume wenzie wanapataje hela...af mtu km huyo akigongewa analalamika
 
I have friend of mine nilishawahi kumuomba mwenzangu ana kaz na kujenga keshajenga nakumbukla aliacha kupokea simu zangu hapa namsubiri kwenye kona siku ajipendekeze kunipigia na kujifanya ananijua sana! Mi ninavyojua kuomba msaada unapokwama sio kosa kosa ni pale ndo inapokuwa proffesional yako

best the american dream unaongea nini tena? kuna tofauti ya kuomba na kupiga mizinga. wewe kila siku huna aaahh halafu kujenga kwake kunakihusu nini?? gangamala kiume
 
Last edited by a moderator:
umeona ee kuna mijanaume mingine inakera kweli yan kila siku mtu hana hela..kwan wanaume wenzie wanapataje hela...af mtu km huyo akigongewa analalamika

halafu wanajitiaga wajuaji, wakipataga hela inaweza usiambulie senti anakula na ndugu zake zikiisha anakupiga mzinga visenti vyako
 
Yah niko siriasi ndo haki sawa yenyewe hiyo au mlitaka nyie tu ndo muwe mnaomba huku kuiwa na haki sawa?

Mkiombwa nyie mnalia kuitwa mabuzi Daudi1 . mimi sikatai kuna kusaidiana ila kuna wengine hawana hiyo kutwa kulalama shida hata starehe ya mapenzi inapotea. bora tuwe mke na mume inamake sense
 
Last edited by a moderator:
Nilipotaka kuwajua rafiki zangu nilipokuwa nimechacha(me na ke).Weee..nimewajuammojamoja!Wananisoma siku hizi.Hovyooo...
 
Mkiombwa nyie mnalia kuitwa mabuzi Daudi1 . mimi sikatai kuna kusaidiana ila kuna wengine hawana hiyo kutwa kulalama shida hata starehe ya mapenzi inapotea. bora tuwe mke na mume inamake sense
Hahahaha tena hilo jina la Buzi mlilitoa wenyewe baada ya kuona mnapata mnachotaka katka kujitambia kwa mshost ndo unasema nimejipatia buzi langu nalichuna, wanawake mna mambo sana mimi huwa nashindwa kuwatafakari huwa mnataka nini hasa? sasa unaona afadhal ingekuwa kwenye ndoa mbona nyie hayo mnayataka kabla ya ndoa?
Mbona nyie msipopewa unaona kama haupendwi au hakujali, hela za kitchen pat na michango ya harusi za wenzio anaombwa beb, sijui hela ya sare mara simu kali, na nguo za fashion kabla ya hiyo ndoa? mara dada yangu kajifungua sijui mama anaumwa hayo ukipatiwa hakuna shida uongo? ila likija suala la kuprovide wewe ndo unaona umario jamani, tuwe fair katika kila jambo maana ndo haki sawa Zenyewe
 
Hivi mwenye haki ya kuomba hela mwingine ni mwanamke tu???

na mwenye wajibu wa kutoa hela ni mwanaume tu?

Napata shida sana, kwani haki sawa kwa wote hapa ni hai-apply?
 
Wanawake kwa ubahili na u-selfish!! Nyie mnapenda mmpewe hela tu zenu kutoa mwiko!! Siku mojamoja una clear bill bwana sio kua tegemezi 100%
 
umeona ee kuna mijanaume mingine inakera kweli yan kila siku mtu hana hela..kwan wanaume wenzie wanapataje hela...af mtu km huyo akigongewa analalamika

Acheni kutanguliza pesa za watu mbele!
 
umeona ee kuna mijanaume mingine inakera kweli yan kila siku mtu hana hela..kwan wanaume wenzie wanapataje hela...af mtu km huyo akigongewa analalamika

Yani anasahau aliambiwa watakula kwa jasho. Hajui kutafuta ni kuomba tu khaaa! Acha wenye kutafuta wagongee
 
Back
Top Bottom