Recent content by ndendi

  1. ndendi

    JamiiForums Tanzania Kama ikithibitika ilikuwa staged, Nape Nnauye aondolewe CCM maramoja!

    Sijakuelewa mtoa mada, hebu funguka
  2. ndendi

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Sio gari nzuri, tafuta Toyota
  3. ndendi

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hiyo kaka ni kwenye barafu, hapa haina matumizi
  4. ndendi

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Pole sana, jini hilo
  5. ndendi

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hizo ni number za wauza magari, huzitumia kabla ya kusajili.
  6. ndendi

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mbeya ndio nchi ya ahadi?

    Mbeya ni ukanda wa wakristo,kuna wakristo wengi kuliko dini zingine,sawasawa na wingi wa misikiti,katika mikoa ya pwani.
  7. ndendi

    JamiiForums Tanzania Kasi ya ushoga Tanzania: Tuwajibike wote

    Ndugu wachaga,ongeeni na wadogo zenu,wengi sana wameeingia kwenye huo mchezo.
  8. ndendi

    JamiiForums Tanzania Stori za radi dhidi ya Kondoo ni za kweli?

    kama radi ni mnyama,tutajie kitabu,tutakitafuta tukisome,msilete habari za kaka yangu,oooo mara babu yangu,hao ni akina nani katika ulimwengu wa wasomi?
  9. ndendi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Pattern kwenye galaxy s4, naomba msaada

    pole sana,kama upo Dar,nenda pale harbour view,groud floor,kuna duka la sumsung,watakusaidia.
  10. ndendi

    JamiiForums Tanzania Kwa Tukio hili la Ikulu, Hii tuna Utulivu au Amani Tanzania?

    walinzi nao wanuza sura....
  11. ndendi

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    prof Jay wa mitulinga.
  12. ndendi

    JamiiForums Tanzania Misamiati na Misemo iliyotia fora wiki hii kuhusu Escrow

    kininja....
  13. ndendi

    JamiiForums Tanzania Kabila la wanyakyusa

    Nchete
  14. ndendi

    JamiiForums Tanzania Kabila la wanyakyusa

    Kule Malawi kuna kabila linaitwa ngonde,lugha yao inashabiana na kinyakyusa kwa asilimia 100,hata wandali lugha yao inafanana na kinyaki kwa 95%,nao pia wanapatikana malawi,sisi wanyaki wa kyela baadhi tunaonge lugha za malawi
  15. ndendi

    JamiiForums Tanzania Kabila la wanyakyusa

    Bha gwetu une nde gwa kyela,mwikama,tokurya umpunga ne ngumba.
Back
Top Bottom