steveson manumbu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 887
- 178
Ni matumaini yangu kila mmoja wetu tu buheri wa afya.
Mwenye uelewa juu ya tatizo hili anisadie; mdogo wangu kachezea simu yangu kwa kuweka patterns nisizozijua na yeye hakumbuki kachora patterns gani aina ya simu ni sumsung galax S4.
Tafadhari mwenye utaalamu naomba anisadie.
Ahsanteni !