Recent content by Ndeke afwege

  1. Ndeke afwege

    Hali ya madarasa/elimu jimboni kwa Waziri Mwakyembe - Kyela

    Huyu bwana mwakyembe nilimuona kama kiongoz bora sana mwanzon lakin kumbe ni kijeba tu. Anautafuta umaruufu kitaifa wakat jimbon kwake hali mbaya. Alichokifanya kwa miaka 10 mm sikion shule za msingi hoi, barabara itokayo kyela kwenda Ipinda mpaka matema beach mbaya ni usanii tu, walijaribu...
  2. Ndeke afwege

    Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

    Mbona hata ww umekubuhu kwa uongo??
  3. Ndeke afwege

    Enyi mnaoitwa Wanaume

    hahaaa! Dah! Ila kuna kaukweli flani mwanaume bila pesa ni tatizo.... Kwahyo ww unataka niwe na shi ngapi ndio nikufuate?
  4. Ndeke afwege

    Enyi mnaoitwa Wanaume

    hahahaaaa! Nilijua tu. Labda usiwe ww
  5. Ndeke afwege

    Enyi mnaoitwa Wanaume

    hakuna kitu hapo... Hyo ni theoretically na sio practically kama huamini muulize miss chagga analijua hilo
  6. Ndeke afwege

    Msaada: mchanganuo wa gharama za ndoa ya bomani ikilinganishwa na ya kanisani

    mtakayofunga duniani hata mbingun yamefungwa pia....... Ya kaisari mpe kaissari na ya mungu mpe Mungu......... Hata mungu anatambua serikali za wanadamu
  7. Ndeke afwege

    Nakutafuta sana

    hayupo fb
  8. Ndeke afwege

    Nakutafuta sana

    Anaitwa Najenjwa Elibariki alihitim mwaka jana CBE kwa mara ya mwisho tulionana morogoro yeye akiwa field TRA.... Kama unasoma ujumbe huu au mtu yeyote anayemfaham dada huyu naomba tuwasiliane. Aje Pm
  9. Ndeke afwege

    Mapenzi sawa na kichaka

    Kamwe usmwamin mtu % zote. Sio kitu rahisi kumkabidhi moyo mtu uliyekutana naye ktk safar ya maisha yako hata mm baba yako usiniamin" MWAMIN MAMA YAKO TU NAYE KWA 98% ,,,,,,,,,,,, haya ni maneno niliyokuwa naambiwa na baba yangu.......... Hata mm binafsi sijawahi kumwamin mpenz wangu hata siku...
  10. Ndeke afwege

    Hii ndio Dar ya mwaka 1887

    nakumbuka enzi hizo ilikuwa inaitwa mzizima kulikuwa na gorofa moja
  11. Ndeke afwege

    Sasa mke basi!

    hahahaaaa! Kweli babu yawezekena ameshindwa kuelewa lugha
  12. Ndeke afwege

    Mbeya City Football Club - Special Thread!

    viva mbeya city tumechoka na simba na yanga..... Piga mbombo wazee
  13. Ndeke afwege

    Jeshi la Polisi kituo cha Nachingwea wamepigwa na JWTZ

    askari wanaofanya vurugu mitaan na kujifanya wababe hao tunawaita mananga na hawajaiva kijeshi. Askari aliyeiva anaongozwa na mambo makuu matatu 1.uaminifu 2. Utii 3. Uhodari sasa yeyote aliyenje ya hayo huyo sio askar
  14. Ndeke afwege

    Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

    umewahi kuolewa ukaona ni zigo? Usisikie wanayolalamika wenzako... Tambua ndoa ni sawa na choo: kuna aliye ndani ya ndoa anataman kutoka kuna aliye ndani ya ndoa hataman hata kutoka wakat yule amabaye yupo nje ya ndoa anataman kuingi. Sawa na choo aliyemaliza haja zake anataka kutoka na yule...
Back
Top Bottom