Recent content by ndekarishia

  1. N

    Mwanadada Maria Sarungi ni nani ?

    Ndio, mume wake ndio hilo jina la Tsehai
  2. N

    Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

    Jitahidi ndugu, nimebahatika kufika Sydney ni kuzuri ila taratibu za kuingia ndio shughuli Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Ni lini Rais Magufuli atakuja kututembelea Mkoa wa Mbeya?

    Kilimanjaro alienda kwenye mei mosi kama nakumbuka vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Nyie jamaa mmefanya nikumbuke moshi, Gogo mbuyuni hiyo tumesaga mahindi sana pale
  5. N

    Rose Muhando Amewatakia heri ya chrismas na mwaka mpya

    Si kweli, kwao tanga na alianzia kuimba kabla ya kuhamia Moshi na kujiunga na kwaya ya mamajusi pale majengo then akaenda Arusha ndipo akahamia Dodoma
  6. N

    NOKIA 2.1 ujio mpya

    Mkuu mbona ya zamani hiyo, Mimi nina Nokia 5.1 ila sasa kuna toleo jipya 8.1 plus
  7. N

    Umewahi kutembelea familia yenye toto lililodekezwa?!

    Kama hiyo familia ni wakristo mwambie wasome Mithali 23 Kuna mafundisho juu ya kiboko Na Mtoto
  8. N

    Dar: Lori limekosa breki na kuua 1 Tegeta. 6 wajeruhiwa

    K Kuna kipindi niliwahi sikia nayo malori yanatakiwa kushukia geti na nyuma na kutokea boko. Kuna ukweli kwa hili?
  9. N

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    kwaya ipi ndugu, mimi nilikuwa cesilia ya wakina fide uiso
  10. N

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    karibia na ccm wilaya au mawenzi hospital?
  11. N

    Kagera: Mchungaji aishi kinyumba na wake wa waumini kwa madai ya kushukiwa na Roho mtakatifu

    Hata star tv wameonyesha, jamaa wa ajabu na hao wanaochukuliwa wake wapo na wanaendelea kusali hapo
  12. N

    Kagera: Mchungaji aishi kinyumba na wake wa waumini kwa madai ya kushukiwa na Roho mtakatifu

    Ovyo kabisa, uwe unasoma kilichoandikwa sio kukurupuka na kudhihaki wengine
  13. N

    Kanisa Katoliki fundisheni lugha ya Kilatini

    Unaweza kupendekeza kwa paroko wako mkatayarisha vipeperushi vya sala za kilatini kama kyrie, Gloria, credo, sanctus benedictus na agnus dei then mkapanga kwa mwezi mara moja mkawa mnatumia.
Back
Top Bottom