Hapo hata mimi pamenishangaza MkuuRAM 1GB & internal 8GB 2018!!!![]()
hakika mkubwa ....Mkuu kama unakuwa hunaga jumbo lolote la msingi la kuchangia Ni bora ukapita kimya kimya
Hii inakuwa inakera watu wengine wanapokuwa wanapitia comment
Baada ya wiki kisimu kinaanza kustack kama akina akili nzuriHapo hata mimi pamenishangaza Mkuu
maajabu haya. apps mbili tatu unakutana na insufficient storage na blah blah nyinginezoRAM 1GB & internal 8GB 2018!!!![]()
Mkuu ukubwa wa betr unauhusiano na shot?yani izi simu zenye betri kubwa kupiga shoti ni rahisi sana,kama tecno na infinix ndio zinaongoza kwa kupiga shot saket zake ama display sio nzuri sana izo ni simu africa unaye taka kukaa na chaji siku 5,tena kwa betri za lithium ndio zinazo tunza chaji ila zina piga simu shoti mno.
Sidhani kama hii kweli maana hata Xiomo simu zao nyingi battery zake ni kubwa (4000mah) na Kuna series yao ya Mi Max ina hadi 5500mah lakini sijawahi sikia malalamiko hayo ya shotiyani izi simu zenye betri kubwa kupiga shoti ni rahisi sana,kama tecno na infinix ndio zinaongoza kwa kupiga shot saket zake ama display sio nzuri sana izo ni simu africa unaye taka kukaa na chaji siku 5,tena kwa betri za lithium ndio zinazo tunza chaji ila zina piga simu shoti mno.
Wapi naweza ipata hii simu?
Ndo ninayoitumia hapa, Kwa battery wako vizuri Kwa kweli
250K itakuwa ni bei ya kule kwao ikifika hapa itakuwa zaidi yaweza kwenda 350+
natumia nokia 2 toleo la kwanza la hii. iko poa sana. hii sikuipenda sana japo ni update ya hii nilionayo zinafanana karibu kila kitu isipokuwa os nadhani nokia 2 ina android 7.1.1 noughat wakat nokia 2.1 ina android 8 oreo.Nimevutiwa sana na ujio wa NOKIA hasa specification zake pamoja na bei yake ambapo ina range 250k-270k!
Betri 4100 mAh
Kwa kua sijatumia ya Nokia smartphone naomba wenye uzoefu nazo wanishauri.Nimependa Nokia 2.1
View attachment 966155View attachment 966155View attachment 966157View attachment 966158View attachment 966159