Recent content by Ndechumia

 1. Ndechumia

  Je, kurudia au kubadili rangi gari ni vibaya?

  Unamaanisha Suye?, nilipaka rangi bampa rangi wanatunzia kwenye vichupa vya soda take away Kama mfuko upo pouwa peleka chuma kwa wachina wa Mbauda, ila bei zao msumari
 2. Ndechumia

  Changamoto ya kununua magari ya mkononi

  Hii unaenda ofisin TRA au kuna njia ya kupitia mtandaoni. Msaada
 3. Ndechumia

  Msaada wadau, Vigae/tiles nzuri na bora(durable) ni zipi?

  Kati ya ceramic na poceline tiles ni zipi nzuri?
 4. Ndechumia

  Unahitaji spare kwa ajili ya gari yako? Usiache kupitia huu uzi

  Steering rack ya raum old model ( spelling naweza nikawa nimekosea) bei gani?
 5. Ndechumia

  Gharama ya kuweka sakafu ya zege/rough floor

  Kwa ufupi plaster chumba kimoja ni kati 50,000-70,000 na rafu 30,000-50,000 kwa ndani. Sebule, dining na jiko hesabu kama chumba kila kimoja. Korido na vyoo inategemea na ukubwa unaweza vichanganya vikawa chumba kimoja. Pia bei inategemea na eneo na hadhi ya fundi.
 6. Ndechumia

  Recommended Engine Oil for Suzuki Grand Escudo 2.7

  Nami nilishauriwa na dealer niweke 5W 40, castro full synthetic. Bei yake imechangamka kiasi Gari imetembea 70,000km
 7. Ndechumia

  Nimezielewa sana Honda Cross Road

  Wengine wananunua vanguard, then unanunua mlango wa nyuma wa RAV 4 miss TZ unaupachika na spare tyre lake. Wajuvi wanasema ni ghali
 8. Ndechumia

  Maisha ni kuchagua

  Hii inaweza gharimu Tsh ngap?
 9. Ndechumia

  Nimezielewa sana Honda Cross Road

  Kwani uliwahi kuona spare ya vanguard?
 10. Ndechumia

  Toyota Allion Vs Toyota Premio ZZT 1.8L

  Mkuu ni vizuri ungetuambia Lita inaenda km ngap,
 11. Ndechumia

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Siku ukitaka kusukuma unijuze. Hizi gari huwa naziota Kila wakati
 12. Ndechumia

  Naomba kujuzwa wastani wa gharama za upauaji kwa fundi

  Hii, gharama ya fundi tu. Material inategemea sana na quality unayotumia. Mfano 1. mbao za mti gani 2. Aina ya bati
 13. Ndechumia

  Naomba kujuzwa wastani wa gharama za upauaji kwa fundi

  Upo sahihi, 10*11 fundi alinipiga 1.96m ikiwa pamoja na blandering
 14. Ndechumia

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Wanaosema afunike plate no. hiyo gari ataiendeshea wapi? kuweka no hapa hasara yake ni kuwa kama gari inajulikana mtaani watu watajua I'd yako
Top Bottom