Hayarekebishiki?......hata ukinunua jipya ukalitumia kama sio mtunzaji, litakuwa bovu tu.Magari used mengi ni mabovu
unakuta gari gearbox mbovu,engine mbovu Labda uuziwe kwa bei ya kutupaHayarekebishiki?......hata ukinunua jipya ukalitumia kama sio mtunzaji, litakuwa bovu tu.
Hujaona watu wananunua magari ya zaman kama Land Rover, Peogot na kuyarekebisha?
Muhimu anunue Kwa bei reasonable arekebishe kama Lina tatizo maisha yaendelee. Naamini hakuna gari lisilorekebishika kama utalipeleka kwa Fundi sahihi.