Recent content by Ndano

  1. Ndano

    Mbowe: Rais Magufuli ndiye rais wa pekee Tanzania atakaekaa madarakani kwa kipindi kimoja

    Kumbe kuna watu na viatu. Mwenyekiti wa kudumu wa chadema mbowe leo amesema kua Rais dkt magufuli ndie Rais atakae vunja recodi kwa kukaa kwa kipindi kimoja madarakani. Sababu anazoeleza mbowe ni kwamba Rais Dkt magufuli ni m babe na anavunja sheria na amesababisha maisha ya wananchi kua...
  2. Ndano

    Kipeperushi changu cha dawa za kulevya kimfikie Rais Magufuli

    Madawa ya kulevya KIPEPERUSHI CHANGU CHA DAWA ZA KULEVYA KIMFIKIE RAIS MAGUFULI Rais wangu mpendwa, Dk John Magufuli. Nimevutwa kuzungumza nawe kuhusu dawa za kulevya, hii ni vita ambayo umeitolea mkazo kuwa kila anayehusika akamatwe, ikiwezekana hata mkeo, mama yetu mpendwa, Janet Magufuli...
  3. Ndano

    Ijue maana ya (notification) taarifa ya kosa

    *IJUE (MAANA YA) NOTIFICATION (TAARIFA YA KOSA)* Madereva wengi sana wamekuwa wakiandikiwa notification, lakini bila kujua notification ni nini. Leo tutazungumzia notification, na kinachotakiwa kufanywa baada ya kuandikiwa notification *Notification* ni taarifa ya kosa na ndio maana kichwa...
  4. Ndano

    Jukwaa la Siasa

  5. Ndano

    Jukwaa la Siasa

    Mh Rais Dr Magufuli Hapa Kazi Tu Wananchi tunakupenda tunakuamini ingawa hali zetu kila kukicha inakuwa bora ya Jana kwangu Soda ni Anasa ila nawe unajipoza
  6. Ndano

    Siri ya Ibrahim Msabaha 'kufichwa mazima' mara tu baada ya Lowasa kujiuzuru 2008

    Yupo Ibrahimu Msabaha Tule Driving Oysterbay Msasani katulia tuli anakula kuku na upepo wa Baharini huru na Maisha mepesi
  7. Ndano

    Kwa kauli za viongozi wa dini kuhusu njaa, sasa mkulu ni "mpweke" katika hoja yake

    Ndiyo sasa awaagize watu wake wakamletee ukweli
  8. Ndano

    Rais achia mikutano ya hadhara, tushindane kwa hoja

    Binafsi sioni sababu ya kuwachia Mikutano ya vyama hiki kipindi watawachanganya wananchi wacha watanzania wajengeke kifikra kutafuta bila kuwa tegemezi
  9. Ndano

    Tujikumbushe jinsi Serikali ilivyoshughulikia tatizo la njaa kipindi Lowassa alipokuwa Waziri Mkuu

    Tujikumbushe wakati Lowassa akiwa Waziri Mkuu pamoja na Serikali yake Kuhusu njaa wao waliuficha Ukweli? Tujiulize kichwani kwani hii Serikali inaongozwa na Mtu asiye kuwa na Uchungu na Tanzania? Nimeuliza tu.
  10. Ndano

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Natumai mambo yataja kuwa shwari tumvumilie jamani
  11. Ndano

    Single mothers na vilio vya kushangaza

    Watabari Ndoa wacha wapigwe mimba tu
  12. Ndano

    Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

    Naomba tusimdhihaki Shekh unapo litaja neno Swalaa ujuwe muhusika Mkuu na mwenye uwelewa mkubwa ni Shekh,...Wajibu wake Shekh nikumeelimisha Maamuma wake Sasa Diamond ni mmoja wa maamuma Shekh anamuhusu.
  13. Ndano

    Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

    Diamond hana kosa kwa mtizamo wake ila Shekh analo jukumu la kumkumbusha Maamuma wake kuto mtania mungu ukijuwa Kazi ya Shekh kamwe huwezi kusema Shekh anaingila
  14. Ndano

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda nawachukia mnatufull wateja wenu haiwezekani mkatuuzia mb 200 za msimu wa sikukuu kwa sh 1,000 maana uingiapo ktk mb 350 internet inakuwa haina kasi kama ukiwa ktk mb za msimu wa sikukuu.
Back
Top Bottom