Naona viongozi wa dini zote,waislamu na wakristo,wamuamua "kuuruka mstari mwekundu" na kutoa kiashiria kwamba njaa si swala la kubashiri,linakuja,ni kujipanga kulikabiri.
Hongereni sana viongozi wa dini

Tatizo hamtaki kumwelewa. Ukiwa mchambuzi utagundua kuwa anataka watu wasibweteke. Palipo na njaa serikali itafanya yake kama ilivyotoa misaada kule Karagwe. Wewe kila siku unakomaa na MAGU jaribu kuwa na positive ideas wakati huo huo ukijua kuwa ndiye rais kwa sasa na siku hazigandi.Naona viongozi wa dini zote,waislamu na wakristo,wamuamua "kuuruka mstari mwekundu" na kutoa kiashiria kwamba njaa si swala la kubashiri,linakuja,ni kujipanga kulikabiri.
Hongereni sana viongozi wa dini
Naona viongozi wa dini zote,waislamu na wakristo,wamuamua "kuuruka mstari mwekundu" na kutoa kiashiria kwamba njaa si swala la kubashiri,linakuja,ni kujipanga kulikabiri.
Hongereni sana viongozi wa dini
wafanye kazi kivipi aise umesikia kazi hazifanyiki watu wamelima mazao yamekauka unataka wafenye kitu gani kingine huku 80% ya watanzania wanategemea kilimo ebu toa maelezo yakinifi aise mdau.Kwa taarifa yako mkulu anapokea taarifa ya hali ya chakula kila siku, na anajua anachokifanya na kinachoendelea kuhusu njaa!Shida ni kwamba, tunapiga kelele bila kujua mipango ya mkulu kwamba anataka watu wafanye kazi!!!!!!
Hatutegemei wachambuzi ili ukweli ujidhihiri. Kiswahili ni lugha yetu sote, kieleweke tu kinachokusudiwaTatizo hamtaki kumwelewa. Ukiwa mchambuzi utagundua kuwa anataka watu wasibweteke. Palipo na njaa serikali itafanya yake kama ilivyotoa misaada kule Karagwe. Wewe kila siku unakomaa na MAGU jaribu kuwa na positive ideas wakati huo huo ukijua kuwa ndiye rais kwa sasa na siku hazigandi.
Umejulishwa Masheikh waliozungumzia njaa. Haya mambo yenu ya udini yataleta shida nchi hii. Ukizungumzwa Uislam tu katika hapa JF utaona watu povu zinawatoka. Halafu tunadanganya ulimwengu eti Tanzania tuna Umoja hatuna ukabila lakini udini upoo.Sheikh gani alieongelea njaa? Naomba kujulishwa.