Unazungumza pumba tu wewe kijana ...huna busara ya ushauri kijanaUkisikia mtu anasema hii kitu ya madawa ya kulevya ni ngumu basi ujue ni ngumu kweli kwa namna ulivyoandika kipractical na theoretical lkn mkuu nchi zinatofautiana Vita inaweza kufeli America na ikafanikiwa ktk jiji la makonda na nchi ya Tanzania ,lkn najua kwa Mzee Magu kila kitu kinawezekana,hii Vita haihitaji longolongo za kisheria tupa kule kamata muhusika wa madawa weka Ndani bila ya hata KUPELEKA MAHAKAMANI au fyatulia risasi tu watapungua.Mh Magu huu ndo ushauri wangu
Nashukuru japo ni "upuuzi" lakini umeuelewa "upuuzi" wenyewe. Na mtu anayeuelewa upuuzi na yeye obviously atakuwa "mpuuzi" tu.Sasa wewe umechangia upuuzi. Sometime jitahidi kuficha ujinga wako
Mkuu usipende ku quote uzi mrefu kama huu ...unatuchosha watumiaji wa simu!Nina wasiwasi wewe ndio nzowe mwenyewe, manake umedadavua kitaalamu mno, na huo weledi alikuwa nao yeye pekee.
Kama kila kitu kinawezekana unaisemeaje lugumi na escrow?? Kwa IQ yako ilivyo ndogo Sina hakika kama umemaliza uzi mzima kuusoma!Ukisikia mtu anasema hii kitu ya madawa ya kulevya ni ngumu basi ujue ni ngumu kweli kwa namna ulivyoandika kipractical na theoretical lkn mkuu nchi zinatofautiana Vita inaweza kufeli America na ikafanikiwa ktk jiji la makonda na nchi ya Tanzania ,lkn najua kwa Mzee Magu kila kitu kinawezekana,hii Vita haihitaji longolongo za kisheria tupa kule kamata muhusika wa madawa weka Ndani bila ya hata KUPELEKA MAHAKAMANI au fyatulia risasi tu watapungua.Mh Magu huu ndo ushauri wangu
Unaakili wewe kama radio mbao yaani mtu ajitoe ufahamu aazime ile katiba ya korea kaskazini au ya china aitumie hapa Tanzania angalao kwa siku mbili tu wallah huwezi amini watu wote watamrudia MUNGU kwa imani zao.Mkuu mimi naamini Kwa nchi kama marekani hii vita ni kubwa Ila Kwa nchi kama tanzania haina ugumu Sana ni suala la maamuzi magumu tu. Waliopo nyuma ya hii biashara wapo wengi Ila wote Tukianza kuamua kuacha mambo ya busara kwenye hii vita basi lazima wakae. Serikali iamue Sasa magufuli pewa yale majina na kikwete Hawafiki hata 50 fanya kama ujitoe ufahamu kamata na uwaweke ndani Ulinzi mkali Sana Bila huruma Kwa mwezi mmoja tu tuone km madawa yataendelea kuingia.. Uamuzi pekee ndio huo . Atakayewatetea anahusika awe wa upinzani au serikali.. Fanya hio kitu magufuli Wewe ndio rais Ukisema ufuate sheria bado Sana
Vipi kigwangwala kakusahau?...acha kuwa bwege nazi wewe!,
..unaquote uzi mrefu hivi,halafu unacomment pumba!
..'mbaff!