Recent content by ndananga

  1. N

    ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    lakin wakati karamagi anaenda kusain mkataba nakumbuka edo alikua waziri mkuu. sizan kama kusema ccm ni majizi inasaidia tukubari top layer ya nchi ilikua ni tatizo sumaye alikuwa waziri mkuu wakati hii mikataba inaanza
  2. N

    ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    ninacho elews mm jamaa walikua wanabadili jina kutoka barrick kwenda accacia so apo pa kufika accacia ndo hapakuwa pamekamilika kiusajili
  3. N

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    kwanza nianze kwa kusema nifuraha yangu kubwa sana kuwa mtanzania na kuwa hai siku ya leo na naamini ntakuwa hai muda mrefu sana mbelen ukiacha mapenzi ya Mungu. kwa sababu kila ninapo lala nataman kesho ifike maana saiz kuwa mtanzania najitanua kifua mbele jaman ni raha kuwa mtanzania maana...
  4. N

    Swali kwa Lissu: Mkataba wa MIGA unasemaje kama kampuni inafanya kazi bila kusajiliwa?

    umesoma vizuri tareh ya hiyo barua ineandikwa mwaka huu mwezi wa tano, kwa nn tusihisi imeandikwa baada ya kuona kwamba the God chosen n blessed president amewashika pabaya. nina bahati ya kuzariwa na kuwa mtanzania
  5. N

    CCM hakuna watu mpaka ateue upinzani?

    nacho kijua presdnt anaamin ktk uchapakazi wa mtu, mama mghwila ukimsikiliza anaongea shida zilizopo tanzania na kutoa suluhisho, kuliko chama kilicho uzwa wao ni lawama tuu kaa mtoto wa kambo hawana jema kila kitu kwao ni tatizo
  6. N

    eti wanawake hawaeleweki?mi naamini wa Tanzania ndo hatueleweki

    watanzania ni watu walawama sana sisi tafikiri ndugu wa mume yaani tangu enzi ya Jk tulilaumu sana huyu jamaa hatufai na ilifikia hatua niwakumbushe kidogo ishu ya vifaa vya uandishi wa daftari la kupiga kura watu walikuja na statistics kwa hatutaweza kuandikisha watanzia wote ndani ya mda...
  7. N

    Bei ya Mahindi katika kila mkoa

    songwe(mbeya)6500 hadi8000 mapya
  8. N

    Naomba kufahamu taratibu za kufuata kwenye safari ya china

    ndugu wanajamvi naombeni kujuzwa jinsi ya kwenda china nina passport na kaela fulan tu kuanzia hapo sijui lolote. 1.ningependa kujua kwa hapa tanzania nifanye nin 2.ni mwez gani mzuri wa kwenda china ambao bei za nauli zitakua chin 3.na ni shirika gani la ndege ambalo bei zake ziko chini 4.kwa...
Back
Top Bottom