eti wanawake hawaeleweki?mi naamini wa Tanzania ndo hatueleweki

ndananga

Member
Jun 1, 2017
9
45
watanzania ni watu walawama sana sisi tafikiri ndugu wa mume
yaani tangu enzi ya Jk tulilaumu sana huyu jamaa hatufai na ilifikia hatua niwakumbushe kidogo ishu ya vifaa vya uandishi wa daftari la kupiga kura
watu walikuja na statistics kwa hatutaweza kuandikisha watanzia wote ndani ya mda uliobakia maana walisema Nigeria walikua na vifaa 15 elfu lakin walishindwa ndani ya miez 9.nawakasema hii kama ni Janja ya jk kutaka kujiongezea mda.wakasema hata akiongeza siku patachimbika lakin watanzania tukaandikishwa na kura tukapiga
sasa kimbembe kipo baada ya kupiga kula tuliemtaka watanzania kaja hata hao wanaopinga waliwai kusema kwamba hii nchi inaitaji ntu mwenye maamuzi si ndo huyu sasa tunae ila lawama mara oooo mara iviiiii mara vile
mfano swala la mchanga ninachoelewa mimi hata tukishindwa kama wanavo sema jamaa nakulipa fidia sizani kama hio fain itazidi tunavo ibiwa madini.
ni bora tushindwe tulipe fidia na tudai kuvunja mkataba tuanze upya kuliko kila siku tunalalama tunaibiwa tunaibiwa kazi kulalamika maamuzi hakuna.

kwa kifupi bora pengo unaweza weka jino bandia kuliko jino bovu.kwa io acha watushitaki badae tutakaa sawa
 

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,727
2,000
Umejitahidi kufikisha ujumbe uliokusudia Bravo na hongera kwa kuleta mada Pamoja na kuwa mgeni wa siku 4 ndani ya JF.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom