Recent content by Ndan ya box

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wakataa kupokea mahari ya binti yao anayeolewa

    asante nmejifunza hAPA MAANA NMECHUKIUA MTOTO WA KLAZI KIJIJI NILICHOTOKA NGOJA NIFATE NYAYO ZAKO
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za kujibu text wanawake walizonazo zinazokera

    jaman kuna rafiki yangu nwa jinsia moja tu na si kwamba tunaongea sana au kuchat sana au ni marafiki sna kihivyohapana ila unaweza kumtumia labda taarifa fulan au kitu fulan jibu lake ni k jaman sipend na nshamwambia naona ni mazoea tu wengine wapo hivyo
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni katika hili

    na likisokomezwa lote ndo utamu wa mwanaume ulipo
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acha kulalamika kila siku

    duuuu kweli hii ndo jf
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Ninandevu kidevun na kifuan kama dume ni kweli nimebahatika kuolewa yamkini labda ni bahat za midevu yangu lkb sijabahatika kuwa na pesa au utajili labda niache zizidi kuwa ndefu ntapata utajiri
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuja Kuwasalimia 2015

    Haha naimani wangekutana na ww siku ile ungewagawia vyote ulivyonavyo wakuache mzima ww hawafai wale,unaongea kisa upo mbali
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu, Mpenzi wangu amekutwa na maambukizi ya VVU

    ukiwa na group +B KUPATA UKIMWI NI NGUMU HUYU MTU ANAITWA KELIA,ila anatoa vvu ILI KWA MWINGINE,na haugui mara kwa mara akipima vipimo vinaonyesha invalid kila akipima haioneshi +au - group hili ni zur SANA ILA ATHALI ZAKE NI SIKU AKIUMWA SIRIOUS UGONJWA WOWOTE KUPONA KWAKE NI NGUMU MPAKA MAUTI...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Navutiwa na mwanamke anayevaa underskirt

    hehehe lo!!!!!!
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka yangu anataka kumuoa mchumba wangu, ameamua kwelikweli

    sina muda wa kutoa ushauri hapa mada imekaa kiuongo sana,huwezi from no where kaka yako anayajua mahusiano yako afu akupindue labda kaka jina sio wa damu,pia yamkini hata kaka yako hajui kama ww ulikuwa na mahusiano na kaka yako yy alijua mmezoeana kisa shemejii ,na kama sivyo basi kaka yako nae...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upagani wangu ukasahaulika ghafla na hata mke nikataka kupewa….!

    du unanikumbusha mbali sana kuna msiba ulitokea na ktk familia wanamtegemea mtu 1 na mbaya zaidi hakuna msaada wowote ambao anautoa basi tu yy aruhusu wazike loo walikaa wiki nzima mpaka alipofika haa
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitihani gani kama hii...!

    du ujumbe wako umekuja wakati muafaka daa pepo la kukata tamaa limeshindwaaaaa
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nimezaa nje, lini nimweleze mke wangu?

    wala usijali hayo ni makosa tu na yapo hujatenda zambi kubwa ya kufanya umuogope mkeo pia tambua mkeo nae si mwaminifu,nakushauri usimtese mtoto fanya hivi beba mtoto mpeleke kwenu i mean kwa bibi yake ambae ni mama yako alee huko mjukuku na hakikisha unampatia matumizi thabiti,baada ya muda...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wimbo ulio bora

    du kweli ni wimbo uliobora,na nikikuta mlango ni wazi nitakuhifadhi kwa mlango wa mielezi
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wimbo ulio bora

    du kweli ni wimbo uliobora,na nikikuta mlango ni wazi nitakuhifadhi kwa mlango wa mielezi
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiri katika mahusiano!

    watu wana watoto na mpaka watoto wamekua na wakaoa bado mke hajui chezea siri ww labda niamue kusema mwenyewe siri waweza kuifanya ikawa siri kweli usicheze na siri,
Back
Top Bottom