HESHIMA KWENU. MIMI NITA HILI JAMBO LINANITATIZA NA NAOMBA USHAURI WENU (PLEASE ONLY SERIOUS ADVICE) ESPECIALLY KWA WALIOKWISHAPITIA MKASA KAMA WANGU. NI HIVI:
Nimeoa nina watoto 3 na miaka 5 iliyopita niligundua mke wangu anaanza michepuka, nilikasirika sana na wakati nachunguza kujua ukweli, hapo nyumbani alikuwepo beki3 (hgirl) na siku nilipodhibitisha kuwa kweli mke wangu alikua na mpenzi (kabla yeye hajajua) nikaona kama nifanye revenge, nikamtongoza bk3 kiutani nikashangaa akawa mwepesi basi yaliyofata ndio hivyo. Nikawa kama nimenogewa. In the meantime nikampa live mke wangu kuwa ninajua anamchepuko fulani, akalia sana akaogopa sana akanipigia magoti akaomba msamaha na kusema hakuwa amefika mbali na jamaa na hivyo akaahidi ku cut-off. Na kweli ali cut-off.
Huku nyuma baada ya miezi miwili beki3 akaniambia ana mimba, lah haula.! Lakini anaogopa kurudi nyumbani kwake, mimi kwa imani niliyonayo siwezi kutoa mimba, dada zake wa mbali hapa Dar wakajua wakataka kuja juu hadi mke angejua (aibu ata kwa familia). Mwisho nikaamua kumpangia chumba uswahilini, na kumpa matunzo hadi alipojifungua. Kipindi fulani hali yangu kifedha ikawa mbaya matunzo shakani, akatokea jamaa mmoja akampenda, akamchukua akawa anaishi naye (wakati huo mtoto ana miaka 4). Juzi January huyu beki3 akajifungua mtoto wa huyo jamaa. Jamaa hili yake ya chini sana kiuchumi, mimi ndio na-foot almost 70% ya budget yao!! Sasa miaka ya karibuni jamaa anamyanyasa sana huyu beki3 pamoja na mtoto wangu hawajali kabisa. Beki3 sasa anataka atoke kwa huyu jamaa ananishinikiza nimpangie chumba akae alee watoto wake. Sasa mimi nitaleaje na mtoto si wangu? Halafu naogopa nikifanya hivyo atakua kama nyumba ndogo yangu!! Lkni ananisumbua sana anataka atoke kwa huyu jamaa anasema la sivyo basi ananiletea mtoto nyumbani yeye ataenda kwao!
SASA SWALI: nifanyeje? niendelee na siri hii mpaka lini? Huyu beki3 anasema kama nikiwapa matunzo vizuri hana shida, hata nisipompa ukweli mke wangu forever. Lakini najua at some point in the future mtoto huyu (wa kike) sitaweza kujificha hisijulikane kuwa ni mwanangu! Je kumwambia mke wangu sasa hivi ni bora zaidi au nisubiri hadi mtoto atakapokua mkubwa zaidi? Say 10+ years? How do you go about this?
Nawasilisha...