Nyingi ya barabara zinazolalamikiwa zimejengwa na kampuni iitwayo Delmonte T ltd. Kama kuna mtu ana profile ya hii kampuni aimwage hapa jamvini nafikiri majibu mengi tutayapata hapa
Nashukuru kwa ushauri mkuu. Nimejaribu sana kuomba nafasi ktk auditing firms kadhaa lakini response imekuwa si nzuri nafikiri wana prefer fresh graduates.
Habari zenu wanajamvi!
Mimi ni mwajiriwa kaitika benki mojawapo ya biashara hapa Dsm kama back Officer huu ukiwa ni mwaka wa tatu
Kwakweli nimekuwa na ndoto ya muda mrefu toka kipindi nasoma o-level ya kuwa fianancial consultant, sasa kikwazo
kimekuwa ni jinsi gani ya kujinasua kutoka ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.