Kwanini wanawake wengi, hujipendeka sana kwa wanandoa?

Kwanini wanawake wengi, hujipendeka sana kwa wanandoa?

Simple, mwenye nacho huongezewa asiye nacho hata kile kidogo alichonacho hunyang'anywa...
 
Usitamke maneno matamu kwa mdada kama huna hisia nae....ni kosa kubwa, wadada wenyewe wa saivi, wanaingia kingi hata kabla hamjaanza kucheza bao!!!!
 
huyo rafiki yako atakuwa ni -----, mazoezi yanafanyika kabla ya mechi na si wakati upo ndani ya uwanja tayari
alaaaaah!
 
Back
Top Bottom