Recent content by Ndambonyiliva

  1. N

    Shein kafunguwa Guntanamo yake Zanzibar ili kumridhisha JK asimfukuze?

    Ndevu za Yesu zilikuwa zinachanwa na kupendeza kuliko hawa WAHUNI.
  2. N

    Uamsho Vs Serikali

    Hawa wamechoka Amani. Kwa nini sasa wana taka wanyolewe Ndefu wakati walikuwa wanaziona ni fahari? Waache ujinga
  3. N

    Kashfa - Naibu Waziri Janeti Mbene ameanza kutumia madaraka yake vibaya

    mungu atamlipa huyu kijana. Sisi akina mama tukipata madaraka tu8jaribu kutulizana nayo kwanza maana kuna siku tutajaumbuka. Bibi Janeth hukuanza wewe kulikuwa na wenzio akina Monica Mbega ambao nao walikuwa hapohapo wakatumia madaraka yao vibaya leo unajua waliko. Be careful kilio cha wanyonge...
  4. N

    MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

    Nakubaliana na wewe kuwa kuna makosa ambayo yamefanyika. Hawa maiterns wako chini ya uangalizi wa maseniors wao. Hawa maseniors ndio walioamua mgomo na kuwakataza maitern kwenda kazini, kwa sababu kuna maitern waliokuwa wamekwenda kuripoti kazini na seniors wao wakawaeleza kuwa wao ndio hawataki...
  5. N

    Facts: Chanzo cha Mgomo wa Madaktari

    Kama yeye angetulia wakati main tern wanagoma mwezi Januari2012 nafikiri hii Hali isingefikia hapa tulipo. Ni vyema viongozi wa Taasisi tunapokutana na changamooto za aina hiyo inabidi tutu lie maana wengi hula hatujui matokeo hake. Kwa kuwasiliana na Blandina nyoni na mipango yao ya kuwarejesha...
  6. N

    Mgomo wa madaktari - Updates

    Nafikiri uishie hapo hapo kuwa taaluma ya udaktari ni nyeti. ukianza ulinganisho na taaluma zingine inakuwa ni matusi. Hata hivyo sio kila mtu anaweza kuwa mwalimu. Kumbuka bila ya walimu hakuna daktari wala RAIS wala WAZIRI. Katika hili tuheshimu taaluma za wengine. Hivi wewe usingefundishwa na...
  7. N

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Ni ukweli kuwa Director of Adminstration and Personnel (Bi Tabu Chando) ni mtu ambaye anapenda sana kujinyenyekea kwa uongo na kwa ghrama za watu wengine. Ukweli Tabu Chando bila ya kujinyenyekea asingeweza kufika hapo alipofikia kwa kuwa Tabu aliolewa na Mkinga yeye binafsi ni mnyakuyusa si...
  8. N

    Nampendekeza huyu kuwa katibu mkuu wizara ya afya!!

    Hapa ndipo tunapokosea kutaja jina la mtu. Tabia ya viongozi wetu hawapendi kushauriwa hususan inapokuwa kwenye masuala kama haya. Si unakumbuka wakati wa Brother Ben W. M alipoambiwa amtoe Marehemu Ngororo alipokuwa KM wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu na wanafunzi wa UDSM? Unakumbuka...
  9. N

    Mponda agoma kujiuzulu

    Ni kweli Dkt. Mponda sio Medical Dkt. yeye ni fundi michundo ya kutengeneza majembe, matololi kule Mbeya kwa kile kilichokuwa kiwanda cha Zana zaKILIMO au ZZK kiwanda ambacho alichangia kwa kiasi kikubwa kufilisika kwake na kufa kabisa na huu udhaifu wake wa kushauri viongozi wake vibaya...
Back
Top Bottom