Jeshi La Polisi Lajiandaa Vya Kutosha Kudhibiti uvunjifu wa amani baada ya swala ya i

Craaaaap....!!!!
A Fool at his best..... "NIMESHUHUDIA POLISI WAKIWA MITA CHACHE KTK MISIKITI"

A Fool writes foolish news.....i.e no news

Wana JF Katika pita pita zangu katika mitaa mbalimbali nimeshuhudia POLISI
wakiwa mita chache tu karibu na misikiti ili kuzuia uvunjifu wa amani wowote unaoweza kutokea baada ya swala ya ijumaa..

Pongezi za DHATI kwa JESHI LA POLISI KWA MAANDALIZI MAZURI PAMOJA TULINDE TAIFA LETU
 
Kwa hiyo wakishinda Ponda atakuwa Rais na amiri jeshi mkuu!
 
Unasema polisi? Jana JWTZ waliweka magari yao katika vituo vingi vya Polisi. Mfano halisi ni Mbezi kwa Yusuf! Chezea wanaume! Tena nasikia wao wenyewe wameamua kuingia kazini baada ya bwana mkubwa kujonekana dhaifu kumaliza kadhia hii!

hao wajeshi hata wao wanaweza kuzima fag vilevile..kawaulize wajeshi wa misri watakueleza.
 
Wengi wamesema JWTZ wanafanya mazoezi ya ndani kwa ajili ya kuitwa wakati wowote. Ni habari nilizopata kutoka chanzo cha ndani ya jeshi Lugalo.
 
Wengi wamesema JWTZ wanafanya mazoezi ya ndani kwa ajili ya kuitwa wakati wowote. Ni habari nilizopata kutoka chanzo cha ndani ya jeshi Lugalo.
safi sana, Wote wanaodhani Serikali imelala na wajaribu waone sasa, hata mimi nimesikia hivyo kuwa wako tayari.
 
Baadhi ya wanajeshi (JWTZ) wanaishi mitaani kama raia wengine na wana ndugu mitaani na wanaathirika na vurugu hizi wamesema hawakubari hali ikiendelea.

Polisi hawajafurahishwa na kuchinjwa kwa PC Said Abdallah kule znz nadhani suala la kulipa kisasi tulitegemee.

Hatutafuti mshindi bali amani.
 
Polisi hawawezi kwenda kwenye misikiti yote, waende wakafanye nini? Kwani ni Waislam wote wanafanya fujo? Wapo Waislam maelfu kwa maelfu, ni waislam walio safi, wanaomcha Mungu kwa kadiri ya dini, na ni wazalendo wazuri wa Taifa hili, sasa hao wakienda misikitikitini, kuna sababu ya kufuatwafuatwa na polisi?


Hapa adui wa usalama wa Taifa letu ni PONDA na wahuni wenzie, wanaoshificha nyuma ya dini ya kiislam kumbe mioyoni mwao ni majambazi wakubwa. Hawa majengo yao wanayoyaita misikitiki, yanafahamika, na ukweli ni kuwa siyo misikitiki bali mapango ya kupangia mipango ya kiharamia. Waislam wanastahili kupaaza sauti zao kuliko watu wengine wowote, kumlaani Mhuni Ponda na wenzake, wanaoitumia dini ya kiislam kwaajili ya kuidhalilisha na ionekna ni dini iliyo adui na kila mtu ambaye siyo muislam. Ponda na wenzake hawana dini, na hawana wazo lolote la kutenda mema ili kuifikia ahera, bali ni wahuni wanaofurahia kuona tunagombana. Mpaka hatua hii, wameshindwa maana hakuna muislam wala mkristo wa kawaida aliyenyanyua mkono wake na kumzaba mwenzie, tunaendelea kuongea, kufanya kazi pamoja na kujumuika katika mambo mbalimbali.

Tunailaumu serikali na Rais kwa kushindwa kuchukua hatua thabiti za kuwaonesha wahuni akina Ponda kuwa hatupo tayari kufarakanishwa na vichaa wachache wanaotumia dini ili ionekana kuwa wanawakilisha kundi kubwa la watu. Ulaaniwe Ponda, adhabu yako ipo karibu, ukiwa hapa Duniani na hata baada ya maisha ya sasa.

Mbona hapa kwetu hakuna Polisi
 
[font=&quot]watanzania wenzangu, pendaneni, hacheni chuki, hasira, matusi, vita, uchochezi. Vyote hivyo havisaidii. Shetani anapenda sana mambo hayo mabaya yanayo mchukiza mungu. [/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]huu ni muda wako wa kuonekana kama wewe ni mtoto wa mungu au shetani. [/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]maneno yako, uchochezi wako, vurugu zako zina au zitasababisha vifo kwa pia watoto, wazee wanawake na wengine, uvunjivu wa amani, uharibifu.[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]baadae mungu atakuangaliaje? Au unategemea utatubu na atakusamehe?. Je aliyekufa kwa maneno na vurugu zako atakuwa ana muda wa kukusamehe wakati ameshakufa?. [/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]kaa tafakari, je kweli unampenda mungu wako ambaye asili yake ni upendo?. [/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]au unampenda tena kwa vitendo shetani kwa kuua, chuki, hasira kwa mtu ambaye aliumbwa na mungu kwa mfano wake yeye mungu?[/font]
 
Inawezekana ni Senior Expert member wa kuandika visivyofaa(Pumba).
 
Back
Top Bottom