Recent content by Ndahani N. Mwenda

  1. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi watawala wanavyotucheka kwa uzuzu na uzumbukuku wetu

    Na #Mwenda ND, Huko Uhispaniola kwasasa mambo ni magumu kwa watawala wa taifa hilo (kwanzia Mfalme na Waziri Mkuu) kinachowaumiza kichwa ni jinsi ya kuzima hasira za wakazi wa Jimbo la Catalunya/Barcelona ambao tangu Jumatatu wamefunga mitaa kwa maandamano na kusababisha mambo mengi kukwama...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Dhamana za Fedha

    Hatifungani Ni Nini, Nawezaje Kunufaika Kupitia Uwekezaji Wake? - 2 _____________________________ Na #Mwenda ND, Mara baada ya kujifunza juu ya nini maana ya hisa, faida na hasara zake. Pia kuna aina nyingine ya dhamana ambayo huuzwa na kununuliwa katika soko la hisa, dhamana hiyo inaitwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Uwekezaji wa Hisa

    Hisa Ni Nini, Nafaidikaje Na Uwekezaji huo? ___________________________________________ Na #Mwenda ND, Nimekuwa nikipata maswali mengi juu nini maana ya hisa na nini faida na changamoto za kumiliki hisa na uwekezaji wa dhamana za fedha (Hisa, Hatifungani pamoja na Vipande) kwa ujumla...
  4. N

    JamiiForums Tanzania HISA za kampuni ya Acacia PLC inayojihusisha na uchimbaji madini nchini zimepanda bei kufikia TZS 7,000

    Unajiita "Econometrician" halafu hujui hata mambo haya madogo yanavyokwenda Mzee! Listen, "The share price can increase for different reasons, it might be because the overall performance of the industry sector is increasing or the research and development of products or services itself may...
  5. N

    JamiiForums Tanzania HISA za kampuni ya Acacia PLC inayojihusisha na uchimbaji madini nchini zimepanda bei kufikia TZS 7,000

    HISA za kampuni ya Acacia PLC inayojihusisha na uchimbaji madini nchini zimepanda bei kufikia TZS 7,000 kwa hisa moja baada ya kushuka wiki iliyopita ambapo zilishuka hadi kufikia TZS 6,750 kwa hisa moja Jumanne ya wiki hiyo kabla ya Jumanne ya wiki kupanda tena. Kampuni hiyo iliyoorodheshwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wakili Alphonce Nachipyangu Ajitoa Kesi ya Wanafunzi wa KIU

    WAKILI NACHIPYANGU AJITOA KESI YA WANAFUNZI WA 'KIU' WANAODAIWA KUMVISHA HIJABU RAIS JOHN MAGUFULI _____________________________________________ Na #Mwenda ND, Kesi ya Jinai Namba 65/2016, Kati ya Jamhuri dhidi ya Amenata Harold Konga na wenzake watatu (3) imeendelea Jumatatu ya wiki hii ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Historia ya Nchi Yetu

    HATUNA ZAIDI YA NYERERE? _______________________________ Na #Mwenda ND, Raiis John Pombe Magufuli (JPM) IJUMAA alinzudua mradi wa umeme katika Bonde la Mto Rufiji (Stigler's Gorge), katika uzinduzi huo uliohudhuriwa na watu wengi kutoka sekta binafsi na serikalini, katika hotuba yake JPM...
  8. N

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Kama ukiniuliza leo, ni kitu gani kinakwamisha maendeleo ya nchi yetu (Tanzania) basi nitakwambia ni Katiba ya nchi ambayo kiukweli imepitwa na wakati. Tupo karine ya 21 lakini bado tunatumia Katiba ya karne ya 20, ajabu iliyoje hii! Katiba iliyotungwa enzi za utawala wa chama kimoja...
  9. N

    JamiiForums Tanzania BAJETI: Vipaumbele vitano vya mwaka huu, Bajeti ya Vitu ama Watu?

    Naam, wanataka wapate vitu vya kuonesha kwa wapiga kura! Wacha tusubiri tuone...lakini uhalisia Bajeti hii haigusi maisha ya watu moja kwa moja
  10. N

    JamiiForums Tanzania BAJETI: Vipaumbele vitano vya mwaka huu, Bajeti ya Vitu ama Watu?

    NI BAJETI YA 'VITU' AMA WATU? ---------------------------------------------------- Na #Mwenda ND, Katika Bunge la Bajeti lililoisha Mwezi Jana, Bunge limeidhinisha Bajeti ya Serikali ya Shillingi 33.1 trillioni pungufu ya Shillingi 0.7 trillioni za Bajeti ya Shillingi 32.4 trillioni ya mwaka...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Haya mambo haya, msemo wa Nguli wa Habari Tanzania Dotto Bulendu. Anyways tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini. Happy Sunday y'all...
Back
Top Bottom