Uwekezaji wa Dhamana za Fedha

Jan 3, 2017
11
38
Hatifungani Ni Nini, Nawezaje Kunufaika Kupitia Uwekezaji Wake? - 2
_____________________________

Na #Mwenda ND,

Mara baada ya kujifunza juu ya nini maana ya hisa, faida na hasara zake. Pia kuna aina nyingine ya dhamana ambayo huuzwa na kununuliwa katika soko la hisa, dhamana hiyo inaitwa 'Hatifungani' ambapo imegawanyika.

Hatifungani ni hati ya deni ambalo serikali ama kampuni hukopa kutokana kwa wawekezaji/Umma kwa makubaliano maalum ya kimkataba na huwalipa wawekezaji kwa riba (return coupon) na marejesho baada ya kupevuka, yaani baada ya muda wa makubaliano kufika.

Kuna aina mbili za hatifungani kulingana na muda, kuna hatifungani za muda mfupi (Treasury Bills) hizi huchukua siku 35, 91, 182 ama 364. Hatifungani hizi mara nyingi riba (Coupon rate) yake huwa ni 3.24%, 5.21% na 9.17% lakini pia kuna hatifungani za muda mrefu (Treasury Bonds) ambazo huchukua muda wa miaka 3, 5, 7, 10, 15 hadi miaka 20. Vilevile katika hatifungani hizo zimegawanyika pia kuna hatifungani za serikali (Government Bond) ambazo hizi kutolewa na Benki Kuu kwa niaba ya serikali hizi mara nyingi huwa na riba ya 7.82%,9.18%, 10.08%,11.44%,13.5% na 15.49% na kulingana na muda wake.

Pia kuna zile hatifungani zitolewazo na makampuni (Corporate Bond) ambazo hutolewa na makampuni binafsi kwa lengo la kujipatia fedha ama mtaji kwaajili ya shughuli zao. Pia kuna hatifungani za manispaa (Municipal Bond) ambazo hutolewa na manispaa husika tofauti na za serikali kuu.

Serikali na makampuni hutoa hatifungani kwa lengo la kupata fedha ya kufanyia shughuli zao. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) huuza hatifungani za serikali kila Jumatano kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pia kampuni mbalimbali zimekuwa zikitoa hatifungani kwa umma kwa lengo la kupata mitaji. Mfano, Benki ya NMB mwaka 2016 ilitoa hatifungani zenye riba ya 13% ambazo zilipevuka mwaka 2019. Hatifungani hizo zilikuwa na muda wa miaka mitatu tu.

Pia Benki hiyo (NMB Bank) kwa mwaka 2019 imetoa hatifungani za miaka mitatu ambayo riba yake ni 10% pekee (niliandika hapa hapa juu ya hatifungani hizi). Zoezi la uuzaji wa hatifungani hizo ulifanyika kati ya Juni/Julai, NMB ilelenga kukusanya TZS 25 billioni lakini baada ya mwitikio mkubwa wa wawekezaji, iliweza kukusanya TZS 83 billioni.

Vile vile kuna Dhamana za muda maalum za serikali (Government Securities) hizi ni dhamana za serikali ambapo Umma huikopesha serikali kwa muda maalum na kupata riba (coupon payment) kila baada ya miezi 6 (semi annual) ya mwaka. Kuna faida nyingi kuliko hasara kwenye uwekezaji katika hatifungani kuliko hida, faida za kuwekeza kwenye hatifungani ni pamoja na;

1. Kiwango kidogo cha athari ya kufilisika/kupata hasara (less risk), kama kampuni itapata hasara ama itafilisika, wenye hatifungani huwa wanapewa kulipwa fedha zao kuliko wenye hisa, maana hatifungani ni deni, hivyo kampuni ikifilisika huwa lazima ilipe madeni. Hisa siyo deni, ni mali!

2. Kiwango cha riba ni cha ushindani, kama kuna kampuni zaidi ya moja zinazotoa hatifungani na Serikali pia mara nyingi hushindana katika riba ili kuvutia wawekezaji, hivyo kampuni yenye kutoa riba nzuri ndiyo hupata wawekezaji wengi.

3.Dhamana, kama ilivyo kwa hisa pia hatifungani inaweza kutumika kama rehani/dhamana katika kupata mkopo kwenye taasisi za kifedha kama benki na zinginezo.

PICHANI, Kutoka kushoto ni Nicodemus Mkama, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) akigonga kengele kuashiria kuorodheshwa kwa hatifungani za Benki ya NMB Katika Soko la Hisa Dar Es Salaam, Mwezi Agosti 2019.

Itaendelea....
 
Mkuu

afi sana, mkuu siku hizo nipo huku tu...... Na nakisubiria kitabu tu.
 
Mkuu nahitaji elimu kuhusu hizo treasury bills au investments ambazo maturity take haizidi mwaka mmoja. Endelea na hili somo tafadhali mkuu.

Nahitaji pia kujua jinsi treasury bills zinavyokokotolewa na namna ya kushiriki kununua/kuuza, hasa zile za serikali zinazouzwa kupitia Benki kuu.
 
Back
Top Bottom