Recent content by ndaha

  1. N

    JamiiForums Tanzania LG TV Inauzwa Bei Poa

    Salaam wadau...nauza TV aina ya lg nilikua natumia ofisini sasa ninahama.Ni LG ya silver inch 50.haina ratio lolote ila remote nilimisplace.Bei ni laki 670.Kwa mawasiliano 0689900000
  2. N

    JamiiForums Tanzania Secretary anahitajika

    Wadau Ofisi ya sheria ndio inaanza kazi inahitaji secretary wa ofisi. Ofisi ni ya sheria na ipo Dar.Ajue kuchapa na basic computer knowledge na apllications pamoja na office set set up na usafi wake. Kwa maelezo zaidi tuchekiane kwa namba 0659300000. Asanteni.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Galaxy Note5 nauza

    Mkuu laki 8 vipii
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kanga wa kufuga

    Salaam...mimi ninao wakubwa ila wako Moro.Naweza kukuletea mpaka hapa Dar.Nauza elf 25 kila mmoja
  5. N

    JamiiForums Tanzania Yai la Mbuni linahitajika kwa hali na mali

    Ushapata mayai?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi Anahitajika

    Shamba lipo Morogoro...salary 150 kuanzia.Nyumba na chakula plus medical care juu yetu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi Anahitajika

    Salaam wadau...ninatafuta Mfanyakazi wa Shamba la Mifugo.Lamsingi awe na elimu ya Mifugo hata certificate pia na uzoefu hasa wa kuku na magonjwa yao na Nguruwe pia.Ntashukuru kama kuna mtu anajua mtu huyo. Mawasiliano ni 0763300000.Asanteni
  8. N

    JamiiForums Tanzania Toaster, Deep fryer, Sandwich maker and irons for sale

    Hiyo deep fryer ni ya ujazo gani ndugu?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Ujambazi kama Kweli -Spy Camera Hellicopter

    Inauzwa wapi hii mkuu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    Yes...Ni Mama bora na anafaa kuwa first lady..Strong,fearless and Daring
  11. N

    JamiiForums Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Polepole pls save the little reputation you still have...You are no less a mercenary..acha hii kitu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais: Huyu ndiye anayeungwa mkono na chama cha CCM

    Sio kweli...Balozi hajui makatibu hata wa mikoa sasa hiyo CCM unayoiongelea sijui ni ipi...labda CCM B
  13. N

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Ubunge Umekushinda. Utawezaje Urais?

    January anatafuta umaarufu ambao tayari anao...yaani ameshafika optimal point sasa hizi heka heka hata sijui za nini
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Wrong analysis...ili hao wafike Mkutano mkuu inategemea NEC watakuepo na watu gani...Labda useme hao 3 watafika NEC not otherway around
  15. N

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: Mkinichagua, nitaanza kushughulika na kukiimarisha chama

    Makongoro hana experience ya kufanya awe bora....agombee Kwanza ubunge wa JMT
Back
Top Bottom