Salaam wadau...nauza TV aina ya lg nilikua natumia ofisini sasa ninahama.Ni LG ya silver inch 50.haina ratio lolote ila remote nilimisplace.Bei ni laki 670.Kwa mawasiliano 0689900000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.