January Makamba, Ubunge Umekushinda. Utawezaje Urais?

Rtackket

Member
Sep 24, 2013
74
373
January anajinadi kama mwana mageuzi, mwenye mawazo chanya. Ubunge aliupata kwa utata, na hata kwenye ubunge ameshindwa kazi, kwani bumbuli ndio moja ya Majimbo yaliyo nyuma sana kimaendeleo. Je, january anawezaje kujinadi kama Rais mtarajiwa wakati jimbo limemshinda?
 
January anatafuta umaarufu ambao tayari anao...yaani ameshafika optimal point sasa hizi heka heka hata sijui za nini
 
Back
Top Bottom